TCU inakwepa majukumu yake kuhusu Postgraduate Studies?

Jan 5, 2021
21
13
Habari Members !

Kumekuwa na changamoto ya Baadhi ya vyuo vikuu/Taasisi za elimu kuendesha programu zao za Uzamili(Masters) pasipo Uwazi uliopo baina ya Vyuo vikuu vya Tanzania/baadhi Taasisi husika za elimu na TCU umekaa kimya.

1. Baadhi ya vyuo vikuu/Taasisi za elimu kuendesha masters ambazo hazipo kwenye TCU guidebook. TCU imekaa kimya kweny jambo hili ukizingatia taasisi nying zinazofanya hivi ni za serikali.

2. Baadhi ya vyuo vikuu/taasisi za elimu kuendesha masters za Uzamili kwa mwaka mmoja. Je hii inakubalika na kama ndiyo inahitajika Uwazi kwenye kulitolea maaamuzi kwa jamii.

3. Muongozo wa pamoja uwepo wa ku manage masuala ya admissions kwa watu wa postgraduate studies. Kwa mwaka haijulikani intake rasmi ziko ngap (kwa masters).

Nawasilisha.
 
Baadae wataweka miezi sita wanachofanya ni wengi walio Serikalini shule magumashi kwa hiyo ili waunge unge vyeti ni kutafuta Chuo chao hicho cha kifurushi hata darasani haingii wala mtandaoni utasikia ana cheti anakiambatanisha kwa HR kazi imeisha pana Waziri mmoja sijui hata four alimaliza ila yupo OUT University na chuo kinamtetea balaa..
 
images (61).jpeg
 
Habari Members !

Kumekuwa na changamoto ya Baadhi ya vyuo vikuu/Taasisi za elimu kuendesha programu zao za Uzamili(Masters) pasipo Uwazi uliopo baina ya Vyuo vikuu vya Tanzania/baadhi Taasisi husika za elimu na TCU umekaa kimya.

1. Baadhi ya vyuo vikuu/Taasisi za elimu kuendesha masters ambazo hazipo kwenye TCU guidebook. TCU imekaa kimya kweny jambo hili ukizingatia taasisi nying zinazofanya hivi ni za serikali.

2. Baadhi ya vyuo vikuu/taasisi za elimu kuendesha masters za Uzamili kwa mwaka mmoja. Je hii inakubalika na kama ndiyo inahitajika Uwazi kwenye kulitolea maaamuzi kwa jamii.

3. Muongozo wa pamoja uwepo wa ku manage masuala ya admissions kwa watu wa postgraduate studies. Kwa mwaka haijulikani intake rasmi ziko ngap (kwa masters).

Nawasilisha.
Toa na mifano ili kusisitiza
 
Mifano Iko wazi taasisi za elimu kama IAA, PMI tayari wana kozi za masters za mwaka mmoja. Pia kumbuka regulations ya undergraduates na postgraduates mandate ipo kwa TCU lakini ukiwapigia simu watolee maelezo wanalikwepa hili swala.
Toa na mifano ili kusisitiza
 
Back
Top Bottom