Tcu

Zile zilikua ni siasa tuu usitegemee watatoa selection mapema kama walivyojisifu ndizo siasa za kibongo mpaka kwenye education.
 
selection itaachiwa soon, kwa taarifa nioliyonayo ni kwamba vyuo vishapokea selected student lists. bado tcu tu kuweka mambo wazi
 
Jamani wanajamii hivi matokeo ya selection ya vyuo vikuu vya Tanzania wametoa ama mpaka nac wahtimu wa fom siksi tuandamane??
we unawaza kuandamana sasa hivi. Fanya maombi ili uchaguliwe kutokana na mtiririko wa course ulizoomba maana tcu bana.....utashangaa kukuta last option inakuwa first priority ilhali credit zinalipa ukilinganisha na competition iliopo!
 
huyo dogo mwenyewe namshangaa...yan hajaingia hata chuo akaona jnc mambo yalivo,tayari anawaza kuandamana.
 
ndo yaliyonikuta mwenzenu last year.
 
huyo dogo mwenyewe namshangaa...yan hajaingia hata chuo akaona jnc mambo yalivo,tayari anawaza kuandamana.
we mwache aje awachangamshe vijana wa kova manake sasa hivi wametulia kidogo. Alafu dogo inaonekana ana mzuka na chuo sijui kapata one huyo!! Hongera sana kijana kwa kujua duty yako, endelea kufuatilia zaidi utapata jibu kamili.
 
ndo yaliyonikuta mwenzenu last year.
Pole sana ndugu yangu. Bora ufanyiwe hivyo alafu upelekwe kwenye chuo ambacho kuna course unayoipenda, hapo utapata mwanya wa kubadilisha lakini kama na huko haipo.....weee, utahaha ni aje!!
 
Pole sana ndugu yangu. Bora ufanyiwe hivyo alafu upelekwe kwenye chuo ambacho kuna course unayoipenda, hapo utapata mwanya wa kubadilisha lakini kama na huko haipo.....weee, utahaha ni aje!!
that real hiyo ilimtokea swahiba wangu last year.
 
TCU n HESLB(bodi ya mikopo) zote zimekaa kisiasa,wana mbwembwe nyingi ukiwasikia katika vyombo vya habari wakija katika uhalisia wa kiutendaji hakuna kitu,vyombo hivi vimeundwa ili kuwapa watu ajira za kinamnanamna, efficiency n effectivness za vyombo hivi is highly doubted
 
Naungana na Vanpopeye,hawa jamaa walisema early of jully ila naona tunaenda agost sasa..
Home kunachosha jamani..
Hivi wao hawajui kama wanatushusha NZUKA?
 
huyo dogo mwenyewe namshangaa...yan hajaingia hata chuo akaona jnc mambo yalivo,tayari anawaza kuandamana.

hahahaha!!! anadhani watu walivyokuwa wakiandamana pale chuo walikuwa ni kupenda na ni fun
 
mpaka tunasahau ka kuna kwenda chuo, hapo ndo mtu anaona bora apge tempo 4 life.. Ila lbda kalenda yao inamatatizo, hyo early jly haijafka
 
Vumilieni madogo, najua huo ni mzuka wakuingia ma'varsity mkiingia msilete usharobaro msome muikomboe nchi yenu
 
hawa wa2 cjui wakoje hawaeleweki km tanesco kwa mtaji huu nchi hii ha2tafika wa2 wanasema 1st wik ya july lkn mpaka na leo hamna ki2..dah??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom