Mr.creative
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 492
- 117
Unangiza vp jina
tcu.go.tz fuata maelekezo
Unangiza vp jina
Umechek profile au tcu website
Kila namba unayotia inasema hivo
Usihangaike na namba.Just ingiza majina tu italeta kwa urahisi
Sasa iko sawa, thank you God to my dota.
Mkuu ni Mungu/MUNGU sio mungu
Wakuu ingien website ya tcu.utakuta ujumbe pale ufungue ilifunguka weka index no yako ya f4. na name yako thn utajua umechaguliwa wapi.nikwawale wa not yet confirmed
hahahaha mamndenyi kumbe ninaweza kuwa mkweo