TCU warahisisha zoezi la kuona selection

Yohana kilimba
male
S0731/0753/2005
barchelor of Education in special Education
Open University of Tanzania (ODL)
 
Hivi inawezekana wakakuandikia selected badae ukakuta not selected?

inawezekana coz hata m ilnambia nireset selection zangu but baadae tena ikaniketea nipo selected but tafuta jina lako kwanza
 
Nimepata hii taarifa kwenye profile yangu (CAS)

PUBLIC NOTES

Selection Process in Progress for those who are not yet selected...
Please be patient during this process, it will take few hours.


ndo utulie tuleeeeeeeee usubir sasa
 
Nimekuwa selected St.johns university of Tanzania campus y DSM according to tcu ile through Central admission System Nimekuwa selected by St.johns main campus dodom sijui inakuwaje hapoo
 
YOHANA KILIMBA M S0731/0753/2005 Bachelor of Education in Special Education Open University of Tanzania (ODL)
 
Back
Top Bottom