TCU warahisisha zoezi la kuona selection

jingomaster

Member
Sep 14, 2014
7
1
Sijafanya second round application, profile yangu iko processed successful
kati ya Arthi... Udsm.. Udom na Dit till now sijaona jina. Ndugu embu tusaidiane hapo...?
Habari,

Nenda katika link hii*** Home *** kila kitu kianajieleza
Ukisech mwaka tuuu watakuja wote walomaliza mwaka huo fanya hivyo kama bado ichek pm nikusaidie

Au andika taarifa zako zote, itakuletea umechaguliwa chuo gani

iwejewaniweke 2nd batch wakati sio 2nd round applction....?

Hapo sasa sielewi maana kupundi kile selection zime leak kuna mtu niliangalia kabisa nikaona udon but surprisingly jina lake halipo
Ila nasikia ndo utaratibu huo kila mwaka kutoa selection in batches
 
iwejewaniweke 2nd batch wakati sio 2nd round applction....?

una uhakika jina halipo au umecheki kimawenge mawenge kama vp tukuchekie tena mkuu hz mashine zina majanga yake unaweza kusema haupo kumbe hukucheki vizuri....!!!
 
jarib kupitia kwa umakin vyuo ambavyo tayar pia kama kunaambavyo bado vsubr na hvyo
 
Hapo sasa sielewi maana kupundi kile selection zime leak kuna mtu niliangalia kabisa nikaona udon but surprisingly jina lake halipo
Ila nasikia ndo utaratibu huo kila mwaka kutoa selection in batches

2nd batch haimaanishi kua ulifanya 2nd round application...wapo waliochagua first round lakn kweny uingizaj majina tu wanakua 2nd batch...kwahiyo usihofu..upo kijan
 
Kila namba unayotia inasema hivo
 
Attachments

  • 1411975729962.jpg
    1411975729962.jpg
    28.5 KB · Views: 686
Back
Top Bottom