Tcu tcu tcu!!!!

ndupa

JF-Expert Member
Jan 25, 2008
4,403
141
tcu mambo yashaiva nadhani ni kuyatoa tu..ni mwendo kama wa wiki 1 au 2 hivi(source ni TCU)..BE READY!!!!
 
Unaweka post JF Then unalog out huku ukijua post yako haijitoshelezi, huyu jamaa vipi?
 
Unaweka post JF Then unalog out huku ukijua post yako haijitoshelezi, huyu jamaa vipi?
ndugu najua unaishi tz,matatizo ya netwk,umemem kukatika na mengineyo...ckulog out kwa kupenda!!! ala today caurses zangu zilikua hazipo nlizo chagua..nkaona niwapigie..jib nlilopewa ni...USIHOFU SELECTIONS TUSHAFANYA SO WE NGOJA KAMA WIKI AU WIKI 2 HIVI UTAKUA USHAJULISHWA(MTATANGAZIWA)!!! bt am vry 4 wht happened!!!
 
tokeni zenu.
 
This forum is no longer of great thinkers!
NADHAN HATA WEW HAUTAKUA GT!!..
hayo ni mawazo yako ndugu najua unaishi tz,matatizo ya netwk,umeme kukatika na mengineyo si jambo la kushangaza...ckulog out kwa kupenda!!! ala today caurses zangu zilikua hazipo nlizo chagua..nkaona niwapigie..jib nlilopewa ni...USIHOFU SELECTIONS TUSHAFANYA SO WE NGOJA KAMA WIKI AU WIKI 2 HIVI UTAKUA USHAJULISHWA!!!
 
tokeni zenu.
ushazoea kudanganywa na siwez kukufanya uniamin akat hutak!! sasa wewe fanya hiv..wapigie tcu act as if unatatizo then jarib kuwauliza..au kama huamin chek caurses ulizochagua kama ziko okey...kama ulivojaza mara ya mwisho!! ila jua after 2 wik kila kitu kitakua kama ambavyo hutak kuamin!!!
 
izo danadana mtacheza mpaka mwezi wa tisa ndo TCU wata-release...
 
Back
Top Bottom