TBC1 watoa habari kwa kutegemea maoni ya wachangiaji kwenye JF

Naunga mkono hoja ila nikutaarifu tu watu wengi humu kuna wakati wanaamua tu kuweka walizo nazo pembeni ili kumshughulikia asiye nazo. Ikifika kushughulika na asiye nazo njia nzuri ni ya wewe kujifanya hunazo kwani ukijifanya unazo kuna uwezekano asikuelewe na kwa mantiki hiyo hatasidika. Wana JF wana uwezo wa kujibadilisha badilisha kutokana na mada zinazo tumwa jamvini na si kweli hoja zao ni nyepesi nyepesi ingawaje wa hoja nyepesi pia wamo kwa sababu penye msafara wa mamba hapakosi kuwa na kenge.
 
Jf ipo juu,siku hizi hapa ofisini wafanyakaz karibu wote wanaingia Jf,kwa kweli ni chombo muhimu kwa habari..tuache maneno ya hovyo na matusi,jf izidi kupaa..thanks mkuu.
 
Back
Top Bottom