Planner
JF-Expert Member
- Apr 5, 2011
- 348
- 148
Wadau,nimekua nikifuatilia utendaji wa shirika letu linalofanya kazi kwa kodi zetu la TBC1 kwa muda mrefu sasa,leo baada ya kutokea tukio la kuzama meli ndipo nimeamini kuwa TBC1 hawana mwelekeo kwani badala ya kutoa updates za tukio hilo wao walikua wakionyesha kipindi cha bango,hili linaendana na kipindi cha nyuma ambapo ilipotolea ajali ya meli kwenye mkondo wa nungwi ambapo kama kawaida yao walikuwa wanaonyesha taarabu badala ya kutoa updates za tukio,haya ni baadhi tu ya madudu yao ukiachilia mbali kutokuonyesha habari zozote zinolenga mirengo ya kuikosoa serikali..inshort iam casting a vote of no confidence to TBC1!