TBC1 imepoteza mwelekeo!

Planner

JF-Expert Member
Apr 5, 2011
348
148
Wadau,nimekua nikifuatilia utendaji wa shirika letu linalofanya kazi kwa kodi zetu la TBC1 kwa muda mrefu sasa,leo baada ya kutokea tukio la kuzama meli ndipo nimeamini kuwa TBC1 hawana mwelekeo kwani badala ya kutoa updates za tukio hilo wao walikua wakionyesha kipindi cha bango,hili linaendana na kipindi cha nyuma ambapo ilipotolea ajali ya meli kwenye mkondo wa nungwi ambapo kama kawaida yao walikuwa wanaonyesha taarabu badala ya kutoa updates za tukio,haya ni baadhi tu ya madudu yao ukiachilia mbali kutokuonyesha habari zozote zinolenga mirengo ya kuikosoa serikali..inshort iam casting a vote of no confidence to TBC1!
 
Si chombo cha Muungano...Zanzibar ni nchi ina TVZ na vyombo vyake wala sio koloni la Tanganyika na wala haiko chini ya Tanzania bara........Nadhani kina tume ya Katiba na wengineo wataniunga mkono...
 
Yaani hawa manunda kweli, mi nilitegemea breaking news watuonyeshe vitu live, lkn kweli matokeo yake ndio wanaonyesha bango, mara taarabu. balaa.
 
Mpaka TIDO apewe heshima yake suala la TBC litakuwa kituko kila asubuhi. Tz nchi ya ajabu sana ukifanya kazi yako kwa weledi unafutwa kazi, ukibabaisha kazi kama huyu jamaa unaonekana wa maaana sana, Je weledi ni wa nini katika fani???
 
Lolote lile liwalo na haturipoti ng'oo..mshana kula bata kerere za chura
 
Wadau,nimekua nikifuatilia utendaji wa shirika letu linalofanya kazi kwa kodi zetu la TBC1 kwa muda mrefu sasa,leo baada ya kutokea tukio la kuzama meli ndipo nimeamini kuwa TBC1 hawana mwelekeo kwani badala ya kutoa updates za tukio hilo wao walikua wakionyesha kipindi cha bango,hili linaendana na kipindi cha nyuma ambapo ilipotolea ajali ya meli kwenye mkondo wa nungwi ambapo kama kawaida yao walikuwa wanaonyesha taarabu badala ya kutoa updates za tukio,haya ni baadhi tu ya madudu yao ukiachilia mbali kutokuonyesha habari zozote zinolenga mirengo ya kuikosoa serikali..inshort iam casting a vote of no confidence to TBC1!
Inonekana wewe mtu wa kuangalia vipindi vya katuni tu. TBC1 wanatoa updates kila wakati mhtasari wa taarifa zao, hufuatilii au uko ki-majungu zaidi, haisaidii hiyo.
 
Marin Hassan Marin hawaonei hata huruma ndugu zake Wazanzibari!

Ama kweli ndiyo maana Yuda Isikarioti alimsaliti Yessu kwa vipande vitatu vya pesa.
 
Yaani hawa manunda kweli, mi nilitegemea breaking news watuonyeshe vitu live, lkn kweli matokeo yake ndio wanaonyesha bango, mara taarabu. balaa.

Siyo TBC1 wanaoingia majini kuokoa , so hawawezi kukupa kitu Live. Updates zinategemea kasi ya uokoaji ikiambatana na taarifa za pamoja , tusiwe wachovu wa kujua mambo yanavyokwenda kiasi hicho, mwisho wake wewe unayelalama utaonekana nunda zaidi. Masuala ya uokoaji ni ya kitaalama zaidi na update za taarifa zake zinahitaji umakini sana ili kuepuka kutoa taarifa za ki-kubenea kubenea (za kusikia mitaani na kishabiki)
 
Si chombo cha Muungano...Zanzibar ni nchi ina TVZ na vyombo vyake wala sio koloni la Tanganyika na wala haiko chini ya Tanzania bara........Nadhani kina tume ya Katiba na wengineo wataniunga mkono...

ala kumbe wewe bado unaangaliaga tbc,pole kwani inabidi akili yako iende likizo kwanza ndo uvumilie kuwachabo
 
Hahahahahaha mimi nadhani hata kama suala la TBC1 lingekuwa halipo mahakamani halitakiwi kujadiliwa, hii ni kutokana na kwamba TBC1 inajifia tena itafia mkononi mwa Mshana kwa sababu hastuki kuwa waliompa kazi ndo hao hao watakaomtoa so ni bora angefanya mambo mazuri ya kukumbukwa badala ya kuendelea kutoa taarifa zilizopitwa na wakati na pia muda mwingine taarifa za uongo kwa umma wa waTanzania
 
Kuna watu wenye laana humu subiri watakuja kupinga sasa ivi........
Si chombo cha Muungano...Zanzibar ni nchi ina TVZ na vyombo vyake wala sio koloni la Tanganyika na wala haiko chini ya Tanzania bara........Nadhani kina tume ya Katiba na wengineo wataniunga mkono...
 
Siyo TBC1 wanaoingia majini kuokoa , so hawawezi kukupa kitu Live. Updates zinategemea kasi ya uokoaji ikiambatana na taarifa za pamoja , tusiwe wachovu wa kujua mambo yanavyokwenda kiasi hicho, mwisho wake wewe unayelalama utaonekana nunda zaidi. Masuala ya uokoaji ni ya kitaalama zaidi na update za taarifa zake zinahitaji umakini sana ili kuepuka kutoa taarifa za ki-kubenea kubenea (za kusikia mitaani na kishabiki)
wakati jana tbc mida ya jioni wakiwa wanahunya hunya na mpaka usiku wakiendelea kuhunya hunya usku wenzako tulikuwa tunapata taarifa mbichi na safi toka tvz.kama uliangalia utakubaliana namimi lakini kwa tbc kilichooza kimeoza kaka huwezi kukipendezesha.hata hivyo tz kila kitu hakiko sawa.
 
Inonekana wewe mtu wa kuangalia vipindi vya katuni tu. TBC1 wanatoa updates kila wakati mhtasari wa taarifa zao, hufuatilii au uko ki-majungu zaidi, haisaidii hiyo.

Emancipate your self from mental slavery!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom