Si chombo cha Muungano...Zanzibar ni nchi ina TVZ na vyombo vyake wala sio koloni la Tanganyika na wala haiko chini ya Tanzania bara........Nadhani kina tume ya Katiba na wengineo wataniunga mkono...
Yaani wewe nawe ndo zumbukuku kweli, jana BBC walikua wanatoa updates za ajali ya hiyo meli. Hivi BBC ni chombo cha Muungano? Mambo mengine badala ya kuchagua kutetea inabidi ujiulize mara mbili.
Naunga mkono hoja asilimia mia moja, TBC kwisha kazi wamepwaya, wamechoka, uongozi umezeeka na wanaboa ile mbaya. Tatizo kubwa linaloikumba nchi yetu ni kua na viongozi wa aina moja ndo mana kila kitu hakiendi sawa. Kwa kweli hatuna redio, polisi, jeshi, magereza, na usalama wa taifa ndo sifuri kabisa.