TBC yauficha uso wa Lulu: Kulikoni

Endangered

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
922
228
Wakuu habari,
nimetazama TBC taarifa ya habari kwenye michezo na burudani, wakaonesha updates kesi ys muigizaji Lulu, lakini cha ajab ambacho sijakielewa ni kuficha uso wake, kulikoni kwa anayejua? Mimi bado sijapata mantiki yao. Msaada tafadhali.
 
Labda wanamficha asijulikane na maadui zake ambao ni washabiki wa Marehemu Kanumba!
 
Ana miaka mingapi huyu binti?
Nadhani TBC watakua wanachukulia kwamba ni mtoto (chini ya 18), kwa hiyo wamemlinda.
 
Kwa sababu alikuwa analia.
Captain Komba kicheko tu saizi
 
Ana miaka mingapi huyu binti?
Nadhani TBC watakua wanachukulia kwamba ni mtoto (chini ya 18), kwa hiyo wamemlinda.

Double R, sina hakika kama TBC wanakula matapishi ama lah. Ni huyuhuyu Lulu kwenye entertainment huwa hafichwi uso, lakini kwa kuwa ni mahakamani, na kila mtu anamfahamu huyu binti ndo wameamua kuficha. Unless kama sijatazama hii stesheni muda mrefu. Mbona magazetini wanaonesha sana tu, na kama ni kuhusu umri si hata interview walitakiwa kumuomba mzazi ama mlezi wake ili wapate ridhaa kwanza, huwa wanafanya hivyo? ni kitu gani wanaficha sasa. These guys wameact so unprofessional yani.
 
Labda wanamficha asijulikane na maadui zake ambao ni washabiki wa Marehemu Kanumba!

Kuficha uso tu, lakini vyombo vyote vimemtoa, na bado interview wamemfanyia, hapo sio kuficha. ni kujifanya wanajua ilhali walishachelewa kufanya hivyo.
 
Hii fomula mvona siielewi? Mashabiki wa Kanumba=Maadui wa Lulu?!! Siyo 'shemeji' yao tena? Kumbukeni huyu binti kafiwa na mpenzi wake.. Muwe na roho ya utu walau kidogo..
 
Back
Top Bottom