TBC yakata matangazo wakati majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Ujenzi na uchukuzi, nini kinafichwa?

juma30

Senior Member
Jun 25, 2022
149
421
SHIRIKA la Utangazaji Tanzania TBC limekata matangazo ya Bunge wakati wabunge wakijadili Bajeti ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi ambapo Waziri wa Ujenzi, Prof. Makame Mbarawa amesema katika mwaka wa fedha2023/24, Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi inaomba kuidhinishiwa jumla ya Shilingi 3,554,783,957,000.00. Kati ya fedha hizo, Shilingi1,468,238,449,000.00 ni kwa ajili ya Sekta ya Ujenzina Shilingi 2,086,545,508,000.00 ni kwa ajili yaSekta ya Uchukuzi.

Swali inakuwaje bajeti ya Trilioni 3.5 inapitishwa bungeni bila wananchi kujua ina mambo gani ndani yake na kwanini ifichwe badala yake TBC imekwenda kujiunga na matangazo ya moja kwa moja Arusha ya ufungaji wa maonyesho ya elimu ya ufundi.

KULIKONI?

Walishawahi kufanya hivyo Tl akichangia bunge la katiba.
Dr. Slaa akichangia/ serikali zamitaa
Sugu bajeti yake ilinyofolewa kurasa.
Kifupi ccm ni dubwasha lililoishiwa mbinu
 
Sioni mantiki ya hoja yako.

Mosi, bajeti haijapitishwa bado inajadiliwa.

Pili, sio TBC pekee inayoonyesha Live. Mfano Star TV wanaonyesha bunge live.

Sasa kwa nini unahisi kuna jambo linafichwa?
 
mimi nazungumzia chombo cha umma hao uliotaja ni binafsi wanaweza kuamua kuweka tathmilia utawafanyaje?
 
Chombo cha umma to what extent? Maana wanachoonyesha Arusha pia ni issue za umma! Mara ngapi wamekata matangazo ya bunge kuonyesha shughuli nyingine? Majuzi hapa walikata kuonyesha Makamu wa Rais akifungua Barabara huko Arusha. Mbona hukuweka uzi?
 
nadhani mtoa hoja ana hoja usimpuuze pamoja na mifano mizuri uliyotoa lakini bajeti ya Trilioni 3 kujadiliwa gizani ni jambo sio la kawaida.
 
My point is, haijajadiliwa gizani, maana vituo vingine visingeonyesha. Kwa nini tunatanguliza neno gizani il hali kuna mwanga?

Kama kuna mtu ana hoja kwamba mambo hayapo sawa, aiweke tujadili. Plus, bunge linaendelea jioni na mjadala utaendelea . Hilo giza liko wapi?
 
hhh
 
Attachments

  • sw-1684743010-HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA 2023-2024.pdf
    3.4 MB · Views: 3
SHIRIKA la Utangazaji Tanzania TBC limekata matangazo ya Bunge wakati wabunge wakijadili Bajeti ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi ambapo Waziri wa Ujenzi, Prof. Makame Mbarawa amesema katika mwaka wa fedha2023/24, Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi inaomba kuidhinishiwa jumla ya Shilingi 3,554,783,957,000.00. Kati ya fedha hizo, Shilingi1,468,238,449,000.00 ni kwa ajili ya Sekta ya Ujenzina Shilingi 2,086,545,508,000.00 ni kwa ajili yaSekta ya Uchukuzi.

Swali inakuwaje bajeti ya Trilioni 3.5 inapitishwa bungeni bila wananchi kujua ina mambo gani ndani yake na kwanini ifichwe badala yake TBC imekwenda kujiunga na matangazo ya moja kwa moja Arusha ya ufungaji wa maonyesho ya elimu ya ufundi.

KULIKONI?

Bunge session ya asubuhi inaisha saa ngapi? Jioni inaanza saa 11 hadi saa ngapi? Tuanzie hapa. 🙏🙏🙏
 
nadhani mtoa hoja ana hoja usimpuuze pamoja na mifano mizuri uliyotoa lakini bajeti ya Trilioni 3 kujadiliwa gizani ni jambo sio la kawaida.
Hivi kweli nchi hii kuna watu hawana kazi wanakaa na kuangalia TBC tena bunge? toka lini budget nchi hii ikashindwa kupitishwa, hivi unadhani wabunge hawaijui hii budget, wanajuwa na wameshaijadili huko kwenye kamati zao hapo inakuja kama formalities tu hakuna jipya.
 
My point is, haijajadiliwa gizani, maana vituo vingine visingeonyesha. Kwa nini tunatanguliza neno gizani il hali kuna mwanga?

Kama kuna mtu ana hoja kwamba mambo hayapo sawa, aiweke tujadili. Plus, bunge linaendelea jioni na mjadala utaendelea . Hilo giza liko wapi?
Umeeleweka Prof M.

Sasa jielekeze kwenye hoja za Wabunge!
 
SHIRIKA la Utangazaji Tanzania TBC limekata matangazo ya Bunge wakati wabunge wakijadili Bajeti ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi ambapo Waziri wa Ujenzi, Prof. Makame Mbarawa amesema katika mwaka wa fedha2023/24, Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi inaomba kuidhinishiwa jumla ya Shilingi 3,554,783,957,000.00. Kati ya fedha hizo, Shilingi1,468,238,449,000.00 ni kwa ajili ya Sekta ya Ujenzina Shilingi 2,086,545,508,000.00 ni kwa ajili yaSekta ya Uchukuzi.

Swali inakuwaje bajeti ya Trilioni 3.5 inapitishwa bungeni bila wananchi kujua ina mambo gani ndani yake na kwanini ifichwe badala yake TBC imekwenda kujiunga na matangazo ya moja kwa moja Arusha ya ufungaji wa maonyesho ya elimu ya ufundi.

KULIKONI?

Hivi bado kuna watu mnaopoteza mda wenu kuangalia bunge la mchongo?
 
Hivi kweli nchi hii kuna watu hawana kazi wanakaa na kuangalia TBC tena bunge? toka lini budget nchi hii ikashindwa kupitishwa, hivi unadhani wabunge hawaijui hii budget, wanajuwa na wameshaijadili huko kwenye kamati zao hapo inakuja kama formalities tu hakuna jipya.
Shangaa sasa watu wanalaumu TBC!
 
SHIRIKA la Utangazaji Tanzania TBC limekata matangazo ya Bunge wakati wabunge wakijadili Bajeti ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi ambapo Waziri wa Ujenzi, Prof. Makame Mbarawa amesema katika mwaka wa fedha2023/24, Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi inaomba kuidhinishiwa jumla ya Shilingi 3,554,783,957,000.00. Kati ya fedha hizo, Shilingi1,468,238,449,000.00 ni kwa ajili ya Sekta ya Ujenzina Shilingi 2,086,545,508,000.00 ni kwa ajili yaSekta ya Uchukuzi.

Swali inakuwaje bajeti ya Trilioni 3.5 inapitishwa bungeni bila wananchi kujua ina mambo gani ndani yake na kwanini ifichwe badala yake TBC imekwenda kujiunga na matangazo ya moja kwa moja Arusha ya ufungaji wa maonyesho ya elimu ya ufundi.

KULIKONI?

Mlifungiwa kuliona bunge miaka na mliufyata kimya.

Ingia youtube kila kitu bungeni bwereree.
 
Sioni mantiki ya hoja yako.

Mosi, bajeti haijapitishwa bado inajadiliwa.

Pili, sio TBC pekee inayoonyesha Live. Mfano Star TV wanaonyesha bunge live.

Sasa kwa nini unahisi kuna jambo linafichwa?
Inawezekana ni hitilafu za mashine..
 
Back
Top Bottom