Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,599
ITV wameonyesha mkuu, labda ukiwa unamaanisha mchana kama breaking news
Samahani sana wakuu,
Nilianza kutazama habari TBC1 na nilivyoweka ITV nilikuta wanatoa ropoti za Bunge....
Sikuwa na nia mbaya na ITV...
Hata hivyo TBC1 nao wametoa taarifa hiyo mwishoni mwa habari za kitaifa!