TBC imemuita nani hamnazo?

Kwa walioangalia taarifa ya habari leo TBC watanielewa.

Kwa kawaida jina au neno hamnazo linamaanisha mtu mjinga, mpumbavu pia asiye na akili timamu.

Leo baada ya taarifa ya habari ya TBC hua kuna kipindi nadhani cha dakika zisizozidi tano kiitwacho Tafakuri ambacho kinatangazwa na Shaban Kisu na huelezea mambo mbalimbali, sasa leo kipindi kilimuelezea mtu aliyepewa jina la Hamnazo.

Ndugu Hamnazo alikuwa ndani akiwa amevaa msuli bila nguo yoyote ndani yake, akaamua kwenda shambani kwake huku akiwa bila viatu, aliingia ndani ya shamba lake huku akikimbia huku shamba lake limejaa mbigiri (miiba) hivyo mbigiri zile zilimchoma lakini ndugu Hamnazo aliendelea kukimbia kuingia katika shamba lake baada ya kuchomwa sana na zile mbigiri akaamua kukaa chini (tukumbuke alivaa msuli bila nguo yoyote ndani yake) hivyo zile mbigiri ziliendelea kumchoma hata huko makalioni, alilia kwa uchungu bila msaada wowote hivyo ndugu Hamnazo akafariki.

Baada ya sehemu hiyo ya ndugu Hamnazo ikafata sehemu inayoelezea kuwa mbigiri ni sawa na ugonjwa wa corona, shamba ni nchi na huyo ndugu Hamnazo ni kiongozi ambaye hakuchukua hatua kuzibiti mbigiri zilizoota shambani kwake hivyo kupelekea kifo chake.

Mwisho mtangazaji wa kipindi hicho cha Tafakuri akawashauri watu wajilinde dhidi ya ugonjwa wa corona ili wasife kizembe kama ndugu Hamnazo.

TBC1 hapa walimlenga nani kwa kumuita Hamnazo.?
Tunatekeleza ....
 
Ndio wamefikia huko???
Tafakuri naona kilikua ni kipindi maalumu kwa ajili ya bwana Hamnazo.
Mtangazaji alikua anaanza story mbaaali mara wakoloni hivi wakoloni wakafanya vile....mara anakuja kuibukia kwa Jpm jembe shujaa bla bla leo imefikia huku.
 
Mwendazake
 
Tunapoelekea cjui itakuaje kwa upande wa mama
 
Mwisho, mtangazaji wa kipindi hicho cha Tafakuri ndugu Shaban Kisu akawashauri watu wajilinde dhidi ya ugonjwa wa corona ili wasife kizembe kama ndugu Hamnazo.

TBC NI NINI?
 
Kuna jambo lenu hapa na TBC linawahusu: johnthebaptist Bia yetu mama D Jane Lowassa Etwege

Back
Top Bottom