... kuKwa jinsi sauti inavyosikika, nadhani ni watumishi wa TBC1, sauti ya matusi inasikika kuzidi sauti za anayeamrisha gwaride, kuna mmoja kasema ...
maanina
Kwa jinsi sauti inavyosikika, nadhani ni watumishi wa TBC1, sauti ya matusi inasikika kuzidi sauti za anayeamrisha gwaride, kuna mmoja kasema maanina, ms.enge na kaponda khusu dhana za jw:shock:
Nimewasikia. Wana utovu wa nidhamu. Pia TBC wametega kamera uwanjani na jukwaa kubwa basi. Hakuna aerial view wala nini. Wmekaa mahali pamoja utadhani wametiwa gundi. Si wangesidiana hata na makampuni yenye vifaa ili walete matangazo bora?mmh matangazo bora kwao si suala la msingi kwao ni bora matangazo!