TBC hivi hamsikii jamaa wakitoa matusi makubwa wakati maadhimisho yakiendelea live???

Nadhani wanajua.KWANI MATUSI NI MAKUBWA ILE MBAYA.YANASIKIKA VIZURI SANA.Nilidhani mimi pekee kumbe na wewe umesikia..Halafu kuna mtu kasikika akiwaamabia "Hivi mnajua yote mnayoonge yanasikika live hewani?"nadhani wanajua wanafanya nini.

Nilidhani ni miye peke yangu niliyekuwa nasikia mauzamauza wakati wa coverage ya tukio la sherehe za kuvishana nishani.Sikuamini kwamba watangazaji watarusha hadi maneno yaliyokuwa "siyo rasmi" kwa umma.
Kumbe nanyi mlisikia ehh/
 
Hao sijawasikia, lakini kama ni kweli inafaa wachukuliwe hatua kali za kinidhamu kuanzia Mkurugenzi wa TBC mpaka waliopo huko kiwanjani. Huu ni uzembe wa hali ya juu, haya ni matangazo ya Taifa na yanasikika dunia nzima.

Hii "Mitanzania" ndivyo ilivyo!

Imagine! Uzembe umezidi Tanzania.Sikutegemea kusikia niliyokuwa nayasikia!SHAME!
 
Kwa aibu ile naona tu ni vema Tbc wakatoa tamka coz wametuaibisha sn!
 
Kwa aibu ile naona tu ni vema Tbc wakatoa tamka coz wametuaibisha sn!
There was a lot of back ground conversations which were clear to our ears. This is lack of professionalism in it's highest on part of event director and commentator from TBC. I use to see people who have low grades in their basic education joining journalism schools but never thought that will experience this level of stupidity and lack of accountability from people employed to work at our national TV. Since events like these are recorded I believe Mr Mshana regardless of how he came to be in that position will fit the " shoes" of a director and reprimand all responsible for this "hitch". Shot of this we should be sure to see worse than this and by imagination of what can that be I won't be watching live events from TBC with my family Round.
 
Imagine! Uzembe umezidi Tanzania.Sikutegemea kusikia niliyokuwa nayasikia!SHAME!

WoS,

Mie siwezi kushangaa,

Sasa nani katika serikali hii siyo mzembe au mbabaishaji???

Refer issue ya Jairo na akina Luhanjo, CAG, Ngeleja na hata JK mwenyewe...Hukusikia jana JK anamtaja Luhanjo kama watu muhimu katika sherehe hizi?? Unadhani amewatumia salamu gani wabunge ambao juzi tu wameomba Luhanjo na wafuasi wake ama wapishe au kutumuliwa kwenye ofisi za umma??

Binafsi siungi mkono suala la kuwachukulia hatua hawa jamaa wa TBC1....Maadamu kwenye serikali hii hakuna aliye msafi (by Sofia Simba), basi pia hakuna aliye makini na kwa kwa hiyo hakuna mtu wa kumvisha paka kengele!!
 
...picha hazionekani vizuri,ndege zenyewe hawajatuonyesha,
watoto walivyoandika miaka hamsini ya uhuru badala watuonyeshe picha kwa juu wameganda hapohapo...
hakuna fani mbovu Tanzania kama uandishi wa habari. Kama umepata exposure kidogo ya jinsi mambo haya yanavyofanywa nchi za watu yani unaweza ukatapika.
 
Jamani nasikia kbs jamaa wanatoa matusi makubwa live TBC mara vifaa vya si****** ss sielewi inakuwaje wanashindwa ku control hii sauti,wachoongea hawa ni aibu kwa Taifa,au ni wafanyakazi wa TBC one!hebu mtuweke sawa!
Hah hah hao jamana wananikumbusha kikao cha NEC ya wanamagamba kilichofanyika hivi majuzi mjini Dodoma wakati wajumbe walipoacha simu zao wazi ili waandishi wa habari wasikie EL alivyokuwa anamwaga mboga kwenye shughuli,hakika Tanganyika ni uwanja wa fujo ni kama vile uwanja wa kenge
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom