Tatoo za mpenzi wangu, zinanivunja moyo. Nampenda ila sijuai nifanyaje

Tatizo nimempa muda wa yeye kushuhulika nazo bila kumwambia (kipimo). Yeye hana habari kabisa. Anaona kawaida

Stuka!!!

Bado anampenda jamaa. Ndo maana hataki kufuta kumbukumbu yake. Wakikutana jamaa atakula kama kawa. Na huwezi jua unaweza kuta wakati unamla akili yake yote iko kwa Vikta.

Kama hataki kukusikiliza kwenye madogo kama kufuta tattoo, atakusikiliza kwa makubwa????
 
Hayo maandishi ya makalioni anamaanisha alikuwa anaruka ukuta? Duniani kuna mambo
 
Na huwezi jua unaweza kuta wakati unamla akili yake yote iko kwa Vikta

mkuu hii itamrahisishia jamaa kazi coz hatahitaji kujituma sana kumfikisha binti .... yeye akimvutia hisia victor tu mambo safi teh teh teh
 
mm, victa hakula kalio kweli? Aliwezaje kumchora makalioni????

Anyway, nilikuwa napenda sana tatoo at 17 lakini sikuweza chora kwa kuhofia jamii na wazazi.

Sikuwahi waza chora makalioni lol
ila sasa nikimuona mwanamke na tatoo hata kitone simtaki.
 
Pole sana. Unajua alama yoyote unayoichora katika mwili wako inaambatana na roho inayofanya kazi na ule mchoro. Hivyo kulingana na totoo hiyo bado kuna roho ya Victa inayomfuatilia huyo binti na huwezi kuishi naye kwa amani kama suala hilo halijashughulikiwa kiroho. Hata ukifanikiwa kuifuta utakuwa umeifuta kwenye ngozi lakini katika moyo utakuwa hujaifuta. Kama unamwamini Mungu mtafute Mtumishi wa Mungu anayeweza kuwafanyia deliverance yeye na wewe pia ili kuwepo kwa tatoo au kutowepo kwake kusiwe tatizo kubwa kwa maisha yenu. Baada ya deliverance kama mkiona bado ni muhimu kufuta basi mfanye utaratibu huo lakini naamini utakuwa wa amani zaidi kuliko sasa. Nakusahauri usiingie katika ndoa naye kabla kupata suluhisho hili kwani jambo hili linaonekana dogo sasa kwa kuwa bado mapenzi yako juu, yakija kupungua hilo ni tatizo kubwa litakalowatesa sana. Mungu akusaidie ndugu yangu.
 
Hii imekuwa inanisumbua sana yapata mwaka sasa. Mpenzi wangu katika malavi lavi na kudadavuana ya kiujana na boyfriend wake wa kwanza. Boyfreind wake alimlisha yamini mpaka kafikia kuchora Tatoo mbili kwenye mwili wake. Moja ya pajani juu sana ina alama ya kopa na mameno Victa for Life. Na ya kwenye makalio ameandika For Simple V. Victa alimtenda na mahusiano yao yakaisha bila kufikia malengo yao. Now nipo mimi.

Nampenda, naitaji kumuoa ila hili linaniumiza sana

bro,kama umependa paja na makalio yake lazima utaumia sana lakini kama unaupendo wa dhati kwake hilo si tatizo ingawa inauma.
 
mm, victa hakula kalio kweli? Aliwezaje kumchora makalioni????

Anyway, nilikuwa napenda sana tatoo at 17 lakini sikuweza chora kwa kuhofia jamii na wazazi.

Sikuwahi waza chora makalioni lol
ila sasa nikimuona mwanamke na tatoo hata kitone simtaki.

hivi wewe ni MWANAMKE au MWANAUME? Nilikuwa naamini ni demu ila jinsi kila member anawasiwasi na jinsia yako kwa hii koment hata mimi wewe si mwanamke wala mwanaume ni binadamu tu asiyekuwa na jinsia.
 
ha ha ha ha, mie ni bina adamu.

Hahahahahahaaaa! Hommie imekuwaje tena? Wava mkali sha ikite la polisi mwanammeku..... Ifi uishi Kaizer ni mamrasa afo ng'aa?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom