Tatoo za mpenzi wangu, zinanivunja moyo. Nampenda ila sijuai nifanyaje

kwamtoro

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
4,922
3,234
Hii imekuwa inanisumbua sana yapata mwaka sasa. Mpenzi wangu katika malavi lavi na kudadavuana ya kiujana na boyfriend wake wa kwanza. Boyfreind wake alimlisha yamini mpaka kafikia kuchora Tatoo mbili kwenye mwili wake. Moja ya pajani juu sana ina alama ya kopa na mameno Victa for Life. Na ya kwenye makalio ameandika For Simple V. Victa alimtenda na mahusiano yao yakaisha bila kufikia malengo yao. Now nipo mimi.

Nampenda, naitaji kumuoa ila hili linaniumiza sana
 
hahahahhaha yaani alichora hadi kwenye makalio? usiwe na wasi na wewe chora kwenye sehemu za sir andika jina lako na nyingine chora chini ya kitovu andika jina lako
 
Kakomaa kiakili now. Alifanya hivyo wakati akiwa age ya 17-20. Tatizo lingine, mweupeee!
 
Hii imekuwa inanisumbua sana yapata mwaka sasa. Mpenzi wangu katika malavi lavi na kudadavuana ya kiujana na boyfriend wake wa kwanza. Boyfreind wake alimlisha yamini mpaka kafikia kuchora Tatoo mbili kwenye mwili wake. Moja ya pajani juu sana ina alama ya kopa na mameno Victa for Life. Na ya kwenye makalio ameandika For Simple V. Victa alimtenda na mahusiano yao yakaisha bila kufikia malengo yao. Now nipo mimi.

Nampenda, naitaji kumuoa ila hili linaniumiza sana

Mpende kama alivyo!
 
mh,tafta mwenye utaalamu wa kuzifuta. hakika inabore. me binafs huwa cpend kuona kumbukumbu yoyote ya x! iwe wangu ama wake. . .
 
Kakomaa kiakili now. Alifanya hivyo wakati akiwa age ya 17-20. Tatizo lingine, mweupeee!

ndiyo matatizo ya foolish age hayo na asipoangalia itakula kwake... hapo mweupee una maana rangi ya ngozi au ni kipunga?
 
Du!, Pole jomba. angekuwa ni dem wangu huyo lazima ningemuunguza na pasi ili hiyo chata itoke, kisha ningeweka chata yangu.
 
Back
Top Bottom