Tatoo za mpenzi wangu, zinanivunja moyo. Nampenda ila sijuai nifanyaje

endelea naye tu, muoe kabisa, lakini kumbuka, katika maisha yake yote, hatakuja amsahau victa, huyo ndiye aliyempa moyo wote, siku yeyote wakija kutana hata kama umemzalisha watoto wanane, atampa tu na watajikumbushia ule upendo wao wa mwanzo ambao ulimfanya hadi amwandike kwenye paja karibu na sambusa yake.....hata wakati mwingine mkiwa sita kwa sita anaweza kuwa anamfikiria victa ndo a come, la sivyo pengine anaweza asifike. pole sana.
 
yaani huyo demu wako ndani ya miaka 17 alikua amesha piga tatoo? kilikua kicheche hicho kidemu achana nacho watu inawezekana waligaragaza sana....
 
kwamtoro kitambo sana mkuu leo ndio naiona hii thread yako, mbona thread zako zote zina vituko?
 
Last edited by a moderator:
nendeni kwa mtaalam hizo tatooz zinaweza badilishwa na kuwa kitu nyingine ama ua ama object nyingine yoyote itayofuta ile ya awali kama hazifutiki...
 
Natafakari kabla sijakujibu ni wa wapi. Ila siyo wa Dom


Piga Chini we mtoto wa kiume bhana, na uyo akuanza na victor. Haiwezekan kufuga mbwa wa mwenzio. Anaweza arud akwambie kwan we hukuta Jina la VICTOR kwenye paja. Utasema nin mzaz
 
teh teh! I lyk ths creature! Yuko flexible sana. Jinsia yake isikupe tabu, Ni mwanamke cuz hakuna mwanaume anaweza kucheza hyo role ya double personality effectively na akaconfuse umma km afanyavyo Kongosho! Teh!

mwanaume atakae fanikiwa kucheza kama jike siku zote na akapatia huyo atakuwa DHAIFU
 
Tatoo zinafutwa hata kwa tatoo zingine. Kwenye discovery Channel wanarusha kipindi cha TAtoo hunter. Ukiangalia utapata jibu lako. Kwa mfano, unaweza kwenda kwa Wabudha, wakamchora tatoo ya kiimani juu ya hizo alizonazo. Au nenda Mtwara kwa wamakonde, wanampiga chale juu ya hayo maandishi na kutatokea picha tofauti. Pole though!
 
unaweza kujitahidi ukaondoa hizo tattoo kwenye mwili wake... what is not known ni kama unaweza ukafuta mapenzi yake kwa victor kama yalivyokuwa represented na hizo tattoo..
 
Kwani we unaingiza kwenye tatuu au kwenye shimo si pale chini.
 
Kwani we unaingiza kwenye tatuu au kwenye shimo si pale chini.

We hachana na mambo ya tatuu,je ukijua analiwa tigo si ndio utaanza kulia kabisa.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom