tatizo wakati wa tendo la ndoa!!

jepro

Member
Oct 28, 2011
90
6
wana JF naombeni msaada mimi ni mwanaume umri 22 huwa kila ninapo kutana kimwili na GF wangu huwa nawahi sana kufika mshindo jamani nina tatizo gani?? mwenye ufahamu jamani elimisha mimi plz au kama kuna dawa natakiwa kunywa b4 ya tendo plz elimisha mimi
 
Hiyo ni dalili ya upungufu wa nguvu za kiume, masozi za uume wako unakua haujakaza vya kutosha. kawaone wamasai
 
umeisha ndugu, hapo uyo demu anakuchora 2, akienda kwa juma anamtupia ata 6 demu akitoka hapo anauchovu wa wk! akija kwako unampatia 1 tena dk 5 na game ndo imeisha! kifupi anakula ela zako 2!
 
Hapa panaitwa JF...hebu jamani acheni kufanya hii sehemu kama genge, msiwe kama ccm bana wao hata kitu cha maana wanasema amani inachezewa...mtu ana shida ameuliza kama unajua msaidie hujui kaa kimya hutapungukiwa na kitu itaonyesha una ustaraabu sio kumkatisha tamaa wakati wengne hapa mna matatizo makubwa zaidi!! ahh mnakera sana
 
Jaribu ku google utapata hayo majibu ya swali lako.
BTW. umri wako ni wa mwanafunzi, piga shule vizuri na sio ngono vizuri.
 
mbona siku hizi watu mmeanza kua wakuda! Mwambie tu kwani shule kitu gani..unazani shule itamuongezea muda wa mshindo.kuwen wastaarabu.
 
miaka 22 mbona ni kidume cha maana kabisa, tena nadhani kipo chuo hicho kidume.
 
Dogo punguza kula chipsi mayai na ikibidi acha kabisa,pendelea kula vyakula vya asili kama ugali wa dona na samaki fresh,ndizi za kupikwa zenye mchanganyiko na karang zilizosagwa,mihogo mboga mboga,mahindi ya kuchoma usisahau asali na maziwa pia,pendelea na supu ya samaki ukifululiza mwezi mzima ndonga itakuwa inasimama kila mara inaleta nyege sana hii kitu.
 
hizo ni laana za mungu kwani wewe bado mdogo sana,huna ndoa na unafanya tendo la ndoa kwa idhini ipi?kazane kusoma dogo,na ushauri sikupi
 
Hiyo inaitwa pre mature ejaculation...soma google utajua mengi na ushauri ni saikolojia zaidi!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom