Tatizo ni nini katika mfumo wa uombaji wa mkopo (HELSB)?

charokiwa12

New Member
Feb 19, 2016
2
0
Habari wana JF,

Nakutana na changamoto ya kushindwa kuingia katika akaunti yangu ili niweze kuendelea na maombi ya mkopo,
Yapata siku ya tatu leo tangu nilipo generate Control number, kulipia, na kuingiza taarifa za awali.

Lakini kila ninapo jaribu kuingia inaoshe ujumbe "INVALID CATEGORY PLEASE CONTACT US FOR FUTHER SUPPORT "
nimejaribu kupiga namba za simu zilizopo katika website ya loan board lakini simu hazipokelewi.

Naomba kupata msaada kwa mwenye uelewa juu ya hili.
 
Back
Top Bottom