Tatizo lolote la PC/device

emu jarbu kufuata aya maelekezo yanweza kukusaidia:

-kama unatumia disk ambayo inapartition basi jaribu kufanya full scan ili ata kama virus wengine wapo sehemu nyingine bas watoke pia

-kama unafanya sharing na hizo usb flash zako basi labda virus wanatoka kwenye pc za watu wengine na wanarudi kwako kama nio company basi inawezekana wapo ambao ni strong sana wanafanya hivyo vitu vyako visifunguke au kuharbika kwaiyo hata ukiformat pc yako but virus wapo kwengine ni sawa na kufanya kazi bure so jarbu kuangalia mostly source ya virus ao ni wapi ,kisha ushuulikie lilipoanzia kuliko ukawa unahangaika na pc yako tu.

--je hizo kazi ambazo zipo kwenye flash zinagoma kufunguka kwenye pc yako au pc nyingine, kama ni kwako basi inawezekana uko ulipozitoa hizo kazi kuna ao virus ambao wakifika kwako wanakuwa blocked na antivirus yako, na kama ukisave kwako na ukienda pc nyingine zinagoma bas ujue kwenye hiyo pc unayoenda kuitumia ndio inashida labda kuna virus sana ndio maana wanakuwa wanazifuta hizo kazi zako, so ni vizuri kujua root wa ao virus ni wapi

--kaspersky ni antivirus nzuri so jarbu kuangalia hata jinsi ya kuitumia siamini kama inashindwa kabisa kuwaondoa virus kwenye pc yako labda kama aipo ACTIVE but kama ipo basi sijaelewa kwann virus wanakusumbua na siku hizi virus strong amna sana mkuu

hope itakusaidia mkuu kwa maelezo ayo
Nashukuru nitajaribu kufuata maelekezo yako mkuu kama nikikwama nitarudi kuomba msaada tena.
 
Sound drivers zipo vizuri.
Kwahiyo niweke adobe mkuu? Kweli sijadownload hiyo mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app

hapana usiweke adobe kama ni tatizo la saut,

kama driver ipo basi fanya hivi right click hiyo icon ya sauti, kisha chagua option ya pili imeandikwa playback devices then chagua speakers kama ukikuta aijaweka tick basi right click sehemu ya speakers kisha kwa chini hapo click iwe SET DEFAULT. kisha itarudi vizur kama tatizo ni ilo hapo
 
Ahsante mkuu, ngoja nitest

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Pirate, nina PC HP 6530b, tatizo ni keyboard hasa alama za uandishi kama vile " ? ! : ' ; = na nyingine zote hazipo mahala pake. Mfano unabonyeza alama ya ulizo inakuletea jumlisha. Tafadhali msaada please.

ilishawahi kunitokea mm pia kuna laptop nilikuwa natumia pia kipindi fulani hiv, but chakufanya ambacho mm pia nilifanya, kama unavyosema ukitaka kubonyeza kiulizo inatokea jumlisha basi kwenye jumlisha ndio kiulizo kinapokuwepo, na ndio hivyo na herufi au alama nyingine kama ukitaka ubonyeze "/" ikatokea "\" ujue kwenye hiyo ya "\" ndipo ilipo"/", ni ngumu kidogo kuielewa. kusababishwa kwa hili labda;

##wakati baada ya kufanya format window7 kuna sehemu ya kuchagua keyboard format hapa wengi uwacha default configuration zilizokuja na windows wanazoziweka ila wengine uwa wanajaribu kubadilisha na kuchagua nyingne kwa mfano kwenye region and language. basi kwa ushauri jarbu kaweke iwe us english, ambayo kwenye keyboard pia inakuja itakuwa hivyo, kuipata jinsi ya kubadili ni hivi (windows ) start>control panel>regional and language>keyboard and languages>change keyboard jaribu kuweka us -english united states

## kama umenunua second hand pc basi wameforce keyboard ambayo sio yake ndio maana inakuletea hivyo kwaiyo itabidi uizoee
 
Window 7
Najinasua vipi na hii error?
5f46135a5cb7b69c63b82afff33abf05.jpg

e118cf0a968e404d9509511a670da17e.jpg
 
Asante kwa kuleta huu uzi tatizo langu nimeshindwa kudownload application ya itv na sababu wanayonipa ni kwamba email yangu haiko access na Google play store.nilitumia Firefox naomba msaada wa mawazo
 
Habari jamani,, laptop yangu ni dell, niliiwasha ikawa inafanya updating baada ya muda ikafail kuupdate nikaamua kuuzima tena ili niiwashe upya baada ya hapo ikawa inawaka lakin haimalizii kuwaka inaishia kuandika dell alafu inabaki na mwanga na kudisplay screen nyeusi, na inacheza alama flan kama (-) upande wa kushoto juu, sijui nini tatizo, naombeni msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ilishawahi kunitokea mm pia kuna laptop nilikuwa natumia pia kipindi fulani hiv, but chakufanya ambacho mm pia nilifanya, kama unavyosema ukitaka kubonyeza kiulizo inatokea jumlisha basi kwenye jumlisha ndio kiulizo kinapokuwepo, na ndio hivyo na herufi au alama nyingine kama ukitaka ubonyeze "/" ikatokea "\" ujue kwenye hiyo ya "\" ndipo ilipo"/", ni ngumu kidogo kuielewa. kusababishwa kwa hili labda;

##wakati baada ya kufanya format window7 kuna sehemu ya kuchagua keyboard format hapa wengi uwacha default configuration zilizokuja na windows wanazoziweka ila wengine uwa wanajaribu kubadilisha na kuchagua nyingne kwa mfano kwenye region and language. basi kwa ushauri jarbu kaweke iwe us english, ambayo kwenye keyboard pia inakuja itakuwa hivyo, kuipata jinsi ya kubadili ni hivi (windows ) start>control panel>regional and language>keyboard and languages>change keyboard jaribu kuweka us -english united states

## kama umenunua second hand pc basi wameforce keyboard ambayo sio yake ndio maana inakuletea hivyo kwaiyo itabidi uizoee
Nimekupata mkuu, nilinunua second hand, kuweka hiyo option ya US nilishafanya sana lakini wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa kuleta huu uzi tatizo langu nimeshindwa kudownload application ya itv na sababu wanayonipa ni kwamba email yangu haiko access na Google play store.nilitumia Firefox naomba msaada wa mawazo

google playstore inataka google accounts kwaiyo kama unatumia kampuni nyingne basi itakupa shida na itataka lazima uwe na account yao, unapofungua google account inakupa access ya kila kitu kama youtube,playstore,news,gmail,google+,hangouts na vingine ving, kwaiyo sijajua umetumia email gan ambayo inakugomea kuwa connected na playstore
 
Habari jamani,, laptop yangu ni dell, niliiwasha ikawa inafanya updating baada ya muda ikafail kuupdate nikaamua kuuzima tena ili niiwashe upya baada ya hapo ikawa inawaka lakin haimalizii kuwaka inaishia kuandika dell alafu inabaki na mwanga na kudisplay screen nyeusi, na inacheza alama flan kama (-) upande wa kushoto juu, sijui nini tatizo, naombeni msaada

Sent using Jamii Forums mobile app

unaweza kuaingia SAFE MODE?
 
Habari zenu wakuu!!

Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae Ana tatito na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu(zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya

Karibuni sana wakuu

Pirate
Mkuu kuna mtu ana iPhone6 anahitaji kutoa lock

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom