Brooklyn
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 1,459
- 284
<br />Kwa ushauri wangu,ningekushauri uwe unanyoa katika saloon moja au mbili yaani usiwe unanyoa katika saloon nyingi sana. Na ili vipungue kuna sabuni inaitwa ''Kopacabana black spot soap'' ni nzuri. Inauzwa katika maduka ya cosmetics(vipodozi). Ni sabuni nzuri unatakiwa uwe unaitumia kunawa nayo kila asubuhi na jioni. Jambo jingine muhimu ni kuacha kuchonga nyuma.<br />
Ila kwa ushauri zaidi waone madaktari bingwa wa ngozi.
<br />
Asante kwa ushauri wako mkuu, ngoja nifanye mpango wa kuonana na madaktari wa ngozi. Kuhusu kuchonga nyuma, huwa sichongi kabisa.