Nasumbuliwa na vipele vilivyopo juu kidogo ya shingo

Lizo mkristu

Member
Oct 31, 2019
69
80
Habari za jioni waungwana wenzangu.mimi nasumbuliwa na vipele maeneo ya karibu na shingo ambapo ndio nywele za kichwa huishia. Je shida ni nini na dawa yake ni ipi naomba msaada wenu.aksante!

Sent using Jamii Forums mobile app

Img_2023_08_01_14_33_16.jpg
 
Halafu rekebisha mada yako isomeke hivi

Habari za jioni waungwana wenzangu.mimi nasumbuliwa na vipele maeneo ya karibu na shingo ambapo ndio nywele za kichwa huishia. Je shida ni nini na dawa yake ni ipi naomba msaada wenu.aksante!

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu si unajua sisi wageni kutoka mjini Facebook kwaiyoo Sina uzoefu na Jiji lenu la jf
 
Back
Top Bottom