Huduma ya kunyoa nywele

Status
Not open for further replies.

co fm

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
1,415
2,141
Hivi wadau kwa hapa Dar es Salaam naweza pata wapi sehemu ambapo wananyoa kwa ustadi nywele hasa za kifuani, kwapani na sehemu za siri.

Mara nyingi nikijinyoa mwenyewe ninatokea kujichana au kujikata.

Tafadhali Wapi naweza kupata huduma ya kunyoa nywele hizo
 
Hivi wadau kwa hapa Dar es Salaam naweza pata wapi sehemu ambapo wananyoa kwa ustadi nywele hasa za kifuani,kwapani na sehemu za siri….Mara nyingi nikijinyoa mwenyewe ninatokea kujichana au kujikata.

Tafadhali Wapi naweza kupata huduma ya kunyoa nywele hizo
Hivi shule hamjafungua tu?
 
Hivi wadau kwa hapa Dar es Salaam naweza pata wapi sehemu ambapo wananyoa kwa ustadi nywele hasa za kifuani,kwapani na sehemu za siri.

Mara nyingi nikijinyoa mwenyewe ninatokea kujichana au kujikata.

Tafadhali Wapi naweza kupata huduma ya kunyoa nywele hizo
Dunia ina mambo
 
Daah Dunia ishaharibika aisee Mtoto wa kiume anaandika nyuzi kuomba anyolewe nywere sehemu tata aisee daah sasa wahuni watakuangalia tuu wakikunyoa au pana vitu unatafuta daah inasikitisha sana...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom