Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,082
- 4,262
Hili tatizo la mafuta ya petrol na diesel nchini kenya linakuwa kero mno na kusababisha foleni ya magari kuwa kubwa na nauli za daladala (matatu) kupanda juu kwa kiwango cha zaidi ya asilimia 50.
Leo ndio imekuwa kero ya hali ya juu kutokana na mvua kunyesha asubuhi na uhaba wa mafuta na kupelekea watu kuingia ofisni saa tatu mpaka saa nne asubuhi.
Wakati huo huo serikali ya kenya inasema kuwa hakuna uhaba huo wakati ukienda kununua mafuta huuziwi zaidi ya 1500 kshs = 27000 tshs. ili na wenzako wapate na ni vituo vichache vinavyouza mafuta hayo.