Biashara ya Mafuta Petrol , Diesel n.k

Smart Gang

JF-Expert Member
Nov 16, 2022
1,977
3,302
Habari zenu wotee ?
Mwaongwera
Mlimola
Mwareli
Mgonile
Kamwene
Nzeze
Oyo aore
Mwarae
Sawubona
Unjani
Moni
Mimi Sijambo.

Kwa Muda wa miaka kumi na Zaidi nimekua nikijishughulisha na shughuli za uvuvi na ununuzi mazao ya ziwa Victoria hasa Dagaa na kuzipeleka sehemu tofauti tofauti ndani na nje ya Nchi.
Mfano Dar, Mbeya, Tunduma, Blantyre na kwingineko .

Sasa Eneo nalofanyia shughuli zangu lina Changamoto ya Mafuta hasa Petrol na Diesel wavuvi na waendesha shughuli wengi wa eneo hili hupata tabu sana kwani kuna kituo kimoja tu Cha mafuta nao pia kuna wakati huishiwa mafuta hata zaidi ya wiki.

Hali hiihupelekea wavuvi hawa kutafta mafuta Kwa umbali mrefu sana na Kwa costs Zaidi nje ya eneo husika.

Wataalam na Wadau wa mambo ya Mafuta na Visima naomba ufafanuzi kuhusu Gharama za kituo cha mafuta ( Filling Station) Kwa Pumb Moja au Mchanganuo mzima kiujumla ukijuimuisha na Vifaa vyake na taratibu ( Vibali) pia.


Ahsanteni sana.
 
Nenda kwenye website ya EWURA wamefafanua kuhusu ujenzi wa vituo vya mafuta kwenye rural areas au mconsult mkandarasi
 
Kazi kwako
Screenshot_20230714-120757.jpg
Screenshot_20230714-120810.jpg
 
Back
Top Bottom