Upungufu wa mafuta ya petrol na diesel, nani alaumiwe?

wiser1

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
2,471
3,646
Hello wakuu, naona hii hali ya upungufu mkubwa wa mafuta tajwa ni kero kubwa kwa kila mtanzania, Wenzetu EWURA wamekaa maofisini wakituaminisha hakuna shida.

Mkoa, wilaya Kijiji, njoo tuambiane kero hii inakukuta ukiwa wapi? na mafuta unanunua kwa Bei gani?

Niko Moshi hali siyo nzuri, Jana mafuta hayakuwepo katika petrol station zaidi ya 7 nilizotembelea, baadae nikapata mafuta baada ya kusubiria kwa zaidi ya masaa 3!

Kwa kweli hali ni mbaya, huku Wenzetu Zambia hapo wakiiinjoiiiii
 
Back
Top Bottom