Tatizo la Mafuta ya Petrol na Diesel nchini Kenya

Dena Amsi

R I P
Aug 17, 2010
13,082
4,260
Hili tatizo la mafuta ya petrol na diesel nchini kenya linakuwa kero mno na kusababisha foleni ya magari kuwa kubwa na nauli za daladala (matatu) kupanda juu kwa kiwango cha zaidi ya asilimia 50.

Leo ndio imekuwa kero ya hali ya juu kutokana na mvua kunyesha asubuhi na uhaba wa mafuta na kupelekea watu kuingia ofisni saa tatu mpaka saa nne asubuhi.

Wakati huo huo serikali ya kenya inasema kuwa hakuna uhaba huo wakati ukienda kununua mafuta huuziwi zaidi ya 1500 kshs = 27000 tshs. ili na wenzako wapate na ni vituo vichache vinavyouza mafuta hayo.

Poleni Kenya DA na hiyo adha ya mafuta, kwa uchunguzi wako unahisi ni mgomo baridi wa wafanyabiashara au kitu kipo behind the scene juu ya uhaba wa mafuta?

Wafanya biashara wameshaona hawapati faida... Huo unaonekana ni mgomo baridi, Sijui hili viongozi ndo watalitatua vipi ...

Usinikumbushe hii adha ya mafuta, juzi ilipoanza shida ya mafuta kutoka wilson airport hadi nyao kawaida ni kama dakika tano hadi kumi kama hakuna jam but jamaa angu alitumia masaa matatu hata sina hamu.

Yaani ilikuwa balaa maana kutoka westland mpaka yaya center 4hrs

ofisi yangu iko Waiyaki way hapo karibu na maxland, kuanzia shida ya mafuta ilipoanza, ofisini natoka saa mbili usiku.. Too much aisee, unakaa kwenye traffic more than two hrs distance ingekuchukua 15 mins siku za kawaida, na kuna shortage ya mafuta.. Sitamani huu upuzi iendelee

Ni balaa acha tu yaani mpaka unatoka ofcn ucku kisa jam hakufai

dena amsi kumbe upo kenya??hahaa sikuwa najua hili...nilivyoona wajitanda nikajua utakuwa unapatika maeno ya uwanja wa fisi kuleeee!!!lol

Acha umbeya, DA asisafiri! kama ameenda huko kusalimia jamaa unajuaje !! wewe angalia key issue hapa.

dena amsi kumbe upo kenya??hahaa sikuwa najua hili...nilivyoona wajitanda nikajua utakuwa unapatika maeno ya uwanja wa fisi kuleeee!!!lol

Yaani wewe hata hujui watu wa kuwachokoza ngoja nirudi

Poleni Kenya DA na hiyo adha ya mafuta, kwa uchunguzi wako unahisi ni mgomo baridi wa wafanyabiashara au kitu kipo behind the scene juu ya uhaba wa mafuta?

Kuna kitu chini ya carpet

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom