Tatizo la kwenda 'Exile'

daughter

JF-Expert Member
Jun 22, 2009
1,275
746
Habari zenu wapendwa? Hope you had a wonderful weekend.

Kuna hii tabia inatokea kwenye mahusiano ya kimapenzi hasa kwenye ndoa.
Utakuta inapotokea baba na mama wamekosana mmoja wao anahama kutoka room yao ya kila siku na kwenda kulala either kwa watoto au guests' room(anaenda exile)

Swali langu ni je hii ni njia sahihi ya kutatua mgogoro?
Na je,nini madhara (kama yapo) ya hii exile kama ni sasa au baadaye katike mahusiano hayo?

Naombeni mawazo yenu katika hili.
Shukrani.
 
Kwa kweli hii c tabia nzuri, hailet pcha nzuri kwa watoto, tena haitatui ugomvi me nadhan kubaki ktandan ndo njia nzuri ya kutatua mgogoro sbb mmoja akiamua kumchokoza mwenzake vle vjimambo vyetu wote 2tasahau km 2likuwa na ugomvi na kuwa mwili mmoja
 
Kwa magomvi ya kawaida, hii si namna sahihi ya kutatua tatizo...Lakini wakati ambapo mambo yamekuwa juu sana, labda mama anajua kuwa baba anatembea na mwanamke mgonjwa mahala, kwa hali hiyo mi siwezi laumu exile hiyo!
 
Kutatua tatizo kwa kulikimbia cjui kama ni njia sahihi.
Hata kwa wanasoma hesabu ngumu za kupachika fomula ili upate jibu, ukiwa na data peke yake bila ya kujua unatafuta nini ni bure.
So exile si njia sahihi ya kutatua matatizo ya kindoa.
 
Mimi kama mimi siwezi share kitanda na mtu kama tumegombana but at the same time sidhani kama nisawa watu wote nyumbani waelewe kama kuna kitu kimetokea. maybe a permanent sofa in the corner of the bedroom inaweza saidia.
 
hata kama. lakini dawa ya kutatua ugomvi ktk mahusiano ni uroda tu. so mmoja akienda exile itakuwaje. mwanamke hapigwi kwa ngumi,kuna fimbo yake ya kumchapia.
 
Solution hapo ni kulala MZUNGU WA 4!!!!
Sumtym manweza kukumbushia na kuepusha watoto kujua nini kinachoendelea kati ya wazazi wao!!!
 
Kwa magomvi ya kawaida, hii si namna sahihi ya kutatua tatizo...Lakini wakati ambapo mambo yamekuwa juu sana, labda mama anajua kuwa baba anatembea na mwanamke mgonjwa mahala, kwa hali hiyo mi siwezi laumu exile hiyo!

Hiyo inaeleweka na hata huyo mume anatakiwa akubaliane na hiyo exile
 
Bora kila mmoja ageukie upande wake!!Kuhamishana chumbani kunaongeza tension!!
 
omeonaa ee tutabanana humo humo mpaka kieleweke sihami chumba ngoo ili apate kisingizio kingine maana sababu haitakosekana ya kutengeneza kambi kwingine:lol:

Bora kila mmoja ageukie upande wake!!Kuhamishana chumbani kunaongeza tension!!
 
hapo ni mwanachadema na mwanaccm,mwanaccm wa kike anafuata ushauri wa sofia simba:smash::washing:
 
omeonaa ee tutabanana humo humo mpaka kieleweke sihami chumba ngoo ili apate kisingizio kingine maana sababu haitakosekana ya kutengeneza kambi kwingine:lol:

Hilo la bold ndo linanipa mashaka
 
Sio vizuri. Ni picha mbaya kwa watoto.
Kama vipi wachonge kitanda kingine.
 
Sihami chumba humohumo mpaka kieleweke,nikalale na watoto ili iweje, nitalala humohumo mpaka tuongee na kumaliza ugomvi wetu
 
Back
Top Bottom