Mukalunyoisa
Senior Member
- Mar 16, 2012
- 139
- 25
ngoja niitafute maana nami ni muathrika wa hili tangu 1995 hadi leo hii
Dawa za minyoo nilishameza sana bila mafanikio. Nikiwa Dar nikioga maji moto kidogo haisumbui lakini huku Arusha ni balaa. Natamani hata nisioge.
Asanteni sana wakuu, nitafanyia kazi ushauri wenu na nitaleta mrejesho nyuma( feedback)
Pole sana. Je, walisha pima stool for minyoo n.k!