Tatizo la vipele mwili hadi sehemu za siri

Oct 17, 2017
26
32
Habari wadau,Naomba msaada kwa anayejua dawa ya kutibu ugonjwa wa vipele mwilini hadi sehemu za siri maana imekuwa ngumu mwanangu wa kiume kupona tatizo hilo,ametumia dawa nyingi sana za hospitali lakini imeshindikana,kwa sasa ugonjwa una zaidi ya miezi mitatu ila imekuwa ngumu,yaani anawashwa sana tumboni,matakoni,mapajani,mgongoni hadi kwenye uume,baadhi wanadai ni ugonjwa wa PESEE lakini wengine wanasema sio,lakini hata huo ugonjwa wa pesee siujui,kiukweli imekuwa changamoto kubwa sana,kwa mwenye kujua naomba msaada wenu tafadhari
 
Mpime minyoo pia, Kama anayo anza tiba ya minyoo.

Halafu kuna upande wa tiba ya kiafrika kuna dawa inaitwa kibiriti upele (nenda maduka ya dawa za asili) Ile ukiipata unachanganya na mafuta ya nazi unampaka, nyingine mchanganyie kidogo kwenye uji anywe....uzuri wa hii hata Kama ni amepatwa na upepo au zongo anapona.
 
Pole sana mkuu kwa changamoto ya mtoto wako
Mtafutie Potassium permanganate muogeshee kwa wiki nzima ... Wiki 2 hivi utaona matokeo mazuri na kama ikitokea imeshindkana hiyo tumia asali ya nyuki wadogo kuwa unampaka baada ya kuoga mpakae pote anakaa nayo kwa muda kama saa 1 hivi mkuu kila la kher
 
Ahsante sana
 
Tumia scaboma lotion ipo duka la dawa asipopona itakuwa alliergy ukimalizza kusoma hii coment. inuka elekea duka la dawa
 
Tumia scaboma lotion ipo duka la dawa asipopona itakuwa alliergy ukimalizza kusoma hii coment. inuka elekea duka la dawa
Aende kwa specialist wa ngozi, hospitali kama kcmc unatengenezewa mafuta kutokana na vipimo vya ngozi yako, sasa we hujui tatizo Nini una recommend tu sijui hizo lotion Gani? Watu mnabahatisha mpaka kwenye vitu serious aisee
 
Sio losheni ya kujichubua mkuu dohh iyo ni dawa ya icho alichokielezea apo nasio nabahatisha atakuja kuleta mrejesho wala si ya kumeza
 
Back
Top Bottom