Tatizo la kutapika safarini (Motion Sickness)- fahamu chanzo, tiba na kinga ya tatizo hili

Nilikuwa na tatizo hili ila nadhan ni kwa sababu sikuwa mzoef wa safari ndef.....nikawa natumia vidonge vya phenogen kila nikianza safari...ni vikal na vinalevya sana....baada ya muda tatizo likaisha.....sasa sijui vidonge viliniponya au ni tatzo liliisha baada ya kuzoea safari
 
Nilikuwa na tatizo hili ila nadhan ni kwa sababu sikuwa mzoef wa safari ndef.....nikawa natumia vidonge vya phenogen kila nikianza safari...ni vikal na vinalevya sana....baada ya muda tatizo likaisha.....sasa sijui vidonge viliniponya au ni tatzo liliisha baada ya kuzoea safari

Upo sahihi kabisa, nilishauriwa hivo kumpa mdogo wangu hadi sasa anasafiri vizuri bila shida.
 
mm mwenzenu nilishudia jirani yangu amekunya kabisa ktk gari eti kila nikiwambia konda na dereva anataka kuchimba dawa konda vumilia tutafika sqsa hivi du jamaa akaanza kunya mbona ilisimama yenyewe gari
mm mwenzenu nilishudia jirani yangu amekunya kabisa ktk gari eti kila nikiwambia konda na dereva anataka kuchimba dawa konda vumilia tutafika sqsa hivi du jamaa akaanza kunya mbona ilisimama yenyewe gari
hahaaa sheedahh
 
Hili la kutapika kwenye gari mie ndiyo nalisikia kwa mara ya kwanza, ila kwenye vile vindege vidogo hili la kutapika ndiyo sana. Niliwahi kupanda kindege kidogo nikitokea Iringa kuja Dar niliapa sitapanda tena ndege ndogo. Nadhani tulikuwa kati ya watu 7 mpaka 9. Sikutapika wala kusikia kichefuchefu ila zaidi ya nusu ya wasafiri walitapika na kasheshe ya hivi vindege vidogo kupepesuka angani ndiyo ilinifanya niamue ile ilikuwa mara ya kwanza na ya mwisho kupanda vindege vidogo.

Wadau kuna hili tatizo la kutapika katika gari watu wengi wanatapika tatizo hua nini?
 
MOTION SICKNESS
PROMETHAZINE ambayo kwa jina la kiwandani pia huitwa PHENEGAN ni dawa ya kuzuia kemikali za histamine. ambazo kimsingi kemikali hizo hizo zinatibua eneo la ubongo na kukufanya utapike. tumia dawa hizo kabla ya safari haijaanza.

Pia dawa hiyo ni nzuri kujitibu ukiudhika "kuchefuka roho" a.k.a kuwa moodless, inakusaidia ku calm down.
 
Aisee! Ju hili tatizo hunisumbua sana mpaka nimekuwa muoga wa safari, juzi nimetoka rombo kuja Arusha nimetapika kila kitu kikaisha ikaanza kutoka damu tupu, du! niliogopa sana nimetapika damu mara 4 mpaka nafika home. Hili tatizo ni baya sana.
 
Kutokuwa na mazoea y kusafiri au kupanda magari!ukisafiri kwa miguu hutapiki au ukipanda punda
 
Hili jambo hutegemea mtu na mtu maana kuna wengine hata kama hajala kitu anapopanda basi lazima mwanzo,mwisho anatapika kama vile anaumwa sana japo watu wengine huwa yaani hili kwao si tatizo la kutapika.
Madokta wanatakiwa waje wasaidie kujibu kwa kitaalam...
(Nchi jirani kwasasa)duuh!
 
Ni Motion sickness au Car sicknesses, hii utokana na ubongo kuchanganyikiwa yaan kutokuelewa taarifa ipi ni sahihi koz macho hupeleka taarifa kua upo kwenyw motion na sikio (inner ear) hupeleka taarifa kua upo still, nakumbuka pia ndo huusika kwenye maswala ya balance.

So ubongo unatibuliwa na ndipo unaanza kusikia kuzungu zungu, kichefchef na mwshoe wengine hutapika.
Mtu yeyote anaweza akapatwa na motion sickness lakini kunawengine ni rahisi kupata,mf. Kwa wanawake pindi wakiwa na ujauzito, Au watu wanaosumbuliwa na kipanda use(migraine) na watoto kuanzia miaka 3-12.

Kama ukiwa kwny gari na ukianza kuhisi dalili jitahidi kufunga macho,Pata hewa(fungua dirisha),Relax(mf.kwa kusikiliza mziki) pia stay calm.

Kabla ya safari na unajijua unatatizo hilo hakikisha unakunywa dawa(nenda pharmacy na ulizia motion sickness medicine),na pia utafune tangawizi.
 
Hili tatizo ninalo kwa kweli hua nahisi kichefuchefu sana(kiungulia) hapa kwenye chemba moyo, kuna mtu alinambia niwe natafuna bublish(big G) au jojo lakini haliishi kabisa japo bado sijapata dawa.
 
Dah.. hii kitu inasumbua baadhi ya watu.

Ni kichefuchefu kinachoenda na ule mtingishiko katika chombo cha usafiri vilevile mchanyiko wa mafuta.
 
Wakuu nimekuwa najiuliza sana hili jambo la watu kutapika wakiwa safarini haswa kwenye mabasi ya mikoani
Napenda kujua chanzo, tiba kama ipo.

NB leo nimeshuhudia hili ndo mana nimeuliza
 
Ni ubongo jinsi unavyo fanya kazi. Mwili hufahamu mazingira kupitia sensory viungo vya mwili. Macho, masikio pua hupeleka habari kwenye ubongo na ubongo kukubali mazingira. Gari linapotembea macho yanashindwa kupeleka habari kamili na ubongo usipokubali mwili una react kwa kutapika.
 
Back
Top Bottom