Tatizo la kutapika safarini (Motion Sickness)- fahamu chanzo, tiba na kinga ya tatizo hili

Mimi huwa inanitokea tena huwa natoka mpk na jasho kabisa. Ila nimeshaiijulia hainisumbui tena. Before nisafiri huwa naweka Coca kwa freezer asubuhi naitoa, nakuwa nazo 2 moja ineganda na nyingine baridi ya kawaida tu. Huwa nazinywa hizo, pia sikosi chocolate na chewing gum.
Madaktari wanaweza kutuelezea vizuri ila mimi niliambiwa nakuwa na ukosefu wa oxygen kwa ubongo. Na hii husababishwa na low sugar so nikila kitu cha sukari inanisaidia. Cha ajabu hii shida naipata kwenye bus na boat tu ila kwa ndege niko sawa kabisa
Asante kiongozi
 
Back
Top Bottom