Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo la kukujoa mkojo wa njano..

Discussion in 'JF Doctor' started by jamii01, Sep 26, 2011.

 1. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,737
  Likes Received: 201
  Trophy Points: 160
  Mwanaume miaka 30 anatatizo la kukojoa mkojo wanjano kama wiki sasa ..japo hari hii inatokea na kupotea..Tatizo lake ni nini na matibabu yake ni nini..
   
 2. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #2
  Sep 26, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,084
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Mwambie anywe maji mengi...akiona hali ibadilike awahi hospitali haraka.
   
 3. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,069
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kabisa ni maji tu hapo.... Maji ni therapy nzuri sana.........
   
 4. m

  mzalendofungo Member

  #4
  Sep 26, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kunywa maji mengi mkuu. Drink water and save "bia"
   
 5. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #5
  Sep 26, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 5,260
  Likes Received: 521
  Trophy Points: 280
  Mwambie anywe bia aina ya serengeti kuanzia bia tatu na kuendelea, tatizo lake litakwisha. Asisitize za baridi plz
   
 6. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #6
  Sep 26, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,260
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Dawa ya tatizo hili ni 'WATER THERAPY'. Mshauri anye maji safi alfajiri anapoamka; hii iwe kabla ya breakfast. Kwa kuanzia atumie lita 1, baada ya wiki 2 apunguze hadi glasi 2.

  Tahadhari, hii inafanye akojoe mara kwa mara na hutulia baada baada ya kama nusu saa hadi saa 1 hivi, hivyo iwe mapema kabla ya muda wa kwenda kazini vinginevyo ataleta usumbufu kwenye daladala. Baada ya siku 3 mwili ukizoea tatizo la kukojoa litaisha lenyewe.
   
 7. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,971
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mwanaume huyo hanywi maji, kwa afya njema anatakiwa kwa siku atumie lita 3 za maji
   
 8. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #8
  Sep 26, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,533
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 160
  maji anywe sana na pia inaweza kusababishwa na hali ya hewa pia kama ni ya baridi..
   
 9. MJINI CHAI

  MJINI CHAI JF-Expert Member

  #9
  Sep 26, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 1,059
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Mimi nasema sio umwambieee..................bali unywe maji mengi muache tabia ya kuficha ugonjwa unaokusumbua!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!........
   
 10. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #10
  Sep 26, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 23,147
  Likes Received: 3,569
  Trophy Points: 280
  Huna tatizo mpwa, kunywa maji engine imechemka tu hapo
   
 11. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #11
  Sep 26, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 28,071
  Likes Received: 2,732
  Trophy Points: 280
  kunywa maji
   
 12. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #12
  Sep 26, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,737
  Likes Received: 201
  Trophy Points: 160
  Nashukuru sana kwa majibu mazuri ukweli sinyi maji nahata sikumbuki nilini nimekunywa maji kwa mara ya mwisho,ila mwenzenu nahishi kwenye mji wa baridi kali na baada ya miezi miwili ijayo baridi yake usipime..nibalaa.hayo maji nifanyanyeje zaidi huwa nashindia coffee ndiyo kinywaji changu..Thanks
   
 13. v

  valid statement JF-Expert Member

  #13
  Sep 26, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,723
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  maji ndo mwisho wa matatizo.kunywa/unywe maji mengi kila siku.
   
 14. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #14
  Sep 26, 2011
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,775
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  mwambie aende hospital akapime bana......mambo ya maji ni kawaida kama hunywi maji unakuwa njano lakini kama ameleta ni tatizo it means something might be wrong si aende kumwona doc?
   
 15. Mr. Mwalu

  Mr. Mwalu JF-Expert Member

  #15
  Sep 26, 2011
  Joined: Feb 4, 2010
  Messages: 595
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  mkuu, ndogo au kubwa! Asije akajiova dozi!
   
 16. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #16
  Sep 26, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 3,592
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Pole sana, inamaana mwili uliishiwa maji dadrated na dalili zake unapata dark yellow urine na tiba yake ndiyo huyo kunywa maji kwa wingi na kwa ratiba siyo lazima upate kiu ndo unywe maji hatua ya kusikia kiu ni dalili za kuishiwa maji.
  Ikiwa unapata light yellow urine mara nyingi husababishwa na chakula tunavyokula hasa venye vitamini B, madawa au vinywaji.
  Ikiwa mwili unakiasi kilicho zidi cha vitamini B mtu hupata light yellow urine.
   
 17. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #17
  Sep 26, 2011
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 2,810
  Likes Received: 749
  Trophy Points: 280
  Hiyo nadhani ni syphilis. Haina tatizo,labda kam ukiwa Marekani,ambapo kumuona daktari inabidi utoe $100. Hii ni syphilis. Usiseme inatibiwa kwa kunywa maji. Kunywa maji kama huna hela za kwenda hospitali. Hii inatibiwa kwa injection.
   
 18. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #18
  Sep 26, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 37,375
  Likes Received: 2,636
  Trophy Points: 280
  Kumbe ni tatizo linalokukabili wewe?? Kunywa maji mengi kama tatizo litaendelea nenda hospitali.
   
 19. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #19
  Sep 26, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 37,375
  Likes Received: 2,636
  Trophy Points: 280
  Ahahahahaaah!!! Kumbe na hii ni mojawapo ya dalili za syphilis?
   
 20. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #20
  Sep 27, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 27,026
  Likes Received: 1,602
  Trophy Points: 280
  abugie maji kwa wingi.
   
Loading...