Nina miezi kama miwili nasikia maumivu baada ya kukojoa,nimenda hospitali kucheck mkojo na nimepima katibia mara tatu still mkojo wangu ukaonekana hauna matatizo yoyote, nilipewa na dawa ila still hazi kusaidia.
Nikapimwa tena figo,kibofu na tezi kwa Utrasound still matokeo yakatoka sina tatizo. Dakatari (Specialist wa Mkojo) aliniambia sababu niliumwa kichocho,may be inaweza kuwa tatizo akanishauri nitumie matunda ya Vitamin C.Ila still mpaka sasa nikimaliza kukojoa na sikia maumivu.
Sio maumivu makali ,ila ni maumivu yanayo nifanya nisiwe comfortable.
Naombeni ushauri na kama kuna specialist mzuri wa maswala ya mkojo niambieni nikaonane nae.