Ninahisi huja-update firmware...
Mathalani S3 huwa zina tatizo kama hilo....
Galaxy s2 gt i9100 haimalizi kureboot inaishia kwenye lebo samsung bila kumaliza.
So tatizo litakua nn na nitalitatua vipi.
Please nipe mawazo.
Mi yangu nishaiweka kapuni nilipeleka Samsung shop wakaitengeneza baadae tatizo likajirudia...
Nikaenda tena kwa mafundi wengine hawakuiweza
nikaiwek kabatini
Mi yangu nishaiweka kapuni nilipeleka Samsung shop wakaitengeneza baadae tatizo likajirudia...
Nikaenda tena kwa mafundi wengine hawakuiweza
nikaiwek kabatini
Nitahtajika kua na tools zipi niweze kutatua tatizo
lte nkutengezeee
Niuzie hyo mkuu
Kuna mtu nilimpaa aifanyie kazi akiishindwa nitawatafuta wakuu..