Tatizo la Galaxy S2 gt i9100 kushindwa kuwaka naomba msaada

mutego

New Member
Dec 15, 2014
2
1
Galaxy s2 gt i9100 haimalizi kureboot inaishia kwenye lebo samsung bila kumaliza.

So tatizo litakua nn na nitalitatua vipi.

Please nipe mawazo.
 
Ninahisi huja-update firmware...

Mathalani S3 huwa zina tatizo kama hilo....
 
Mi yangu nishaiweka kapuni nilipeleka Samsung shop wakaitengeneza baadae tatizo likajirudia...

Nikaenda tena kwa mafundi wengine hawakuiweza

nikaiwek kabatini
 
Galaxy s2 gt i9100 haimalizi kureboot inaishia kwenye lebo samsung bila kumaliza.

So tatizo litakua nn na nitalitatua vipi.

Please nipe mawazo.

FANYA. hivi kwanza..zima simu yako ikisha zima fanya hivi. Bonyeza volume up button usiachie kisha bonyeza home button hyo ya kati nayo usiachie kisha bonyeza power button.usiachie button hta moja mpka simu itakapo waka kweny menyu flani hiv ambapo itatokea logo ya android ile then achia button zako..sasa ukiwa kweny hyo menyu tumia button ya volume up kupanda juu na volume down kushuka chini..sasa shuka hadi walipo andika wipe user data/factory reset..basi bonyeza power button ku select then select yes simu ita wipe data.ikimalza shuka chini mpka walipo andka wipe cache kam kawa tumia power button ku select hapo af yes then sim itawipe cache.ikimalza select reboot now.basi simu yako itawaka vzur tu.ikigoma lete feedback nikupe njia ya pili.
 
Nitahtajika kua na tools zipi niweze kutatua tatizo

Huitaji tools zozote zaidi ya kuwa na Samsung Kies nadhani ver 2.6 itakufaa na uwe na internet yenye bundle ya kutosha (200MB au zaidi) pamoja na USB cable...

Hatua ya kwanza ni kuianzisha simu katika Download Mode, hakikisha simu inachaji au chaji simu kabla...tazama link hii chini namna ya kuiweka simu kwa download mode.

http://www.samsungsfour.com/tutorials/how-to-enter-samsung-galaxy-s2-in-download-mode.html

Hatua ya pili inakupasa kuunga simu yako na kompyuta na baada ya hapo anzisha Samsung Kies....

Hatua ya tatu ni kuanzisha update ya firmware...hatua zake kuanzisha update ya firmware tazama hapa kwa link chini...

http://www.samsung.com/us/support/faq/FAQ00052704/61332

Ukifanikiwa kupata latest firmware basi Kies itaendelea kui-update na usiiguse simu hadi itakapomaliza...

In between kama sikosei huwa kuna reboots hivyo kuwa patient...
 
habari mkuu,
kama bado hujatatua tatizo la simu yako jaribu kubadili betri kwanza kabla hujaupdate firmware ya simu yako.

source: nilikuwa na tatizo kama hilo kwa simu yangu ya S2 na baada ya kubadili betri tatizo liliisha na hapo ni baada ya kukaa na simu kwa muda wa kama wii mbili inawaka inaishia kwenye logo halafu inazima.
 
Back
Top Bottom