Tathmini yangu fupi kuhusu Baraza Jipya la Mawaziri

Upo sahihi mkuu
Hii mada haiwahusu nyie watu wa CHADEMA, Hapa ni CCM tunaunda baraza la Mawaziri so obvious kwa nyie hakuna hata candidate mmoja ambao mtaona anafaa. Hivi mbona CHADEMA hamnaga akili kabisa kwenye vichwa vyenu
 
Sipangiwi, tena ukinipangia ndio umeharibu kabisa! Mimi ni Rais ninayejiamini, kwanza hata wakati naenda kuchukua fomu nilienda peke yangu!
 
No. 5 bado sana kuweza kumudu hiyo Wizara. Ana historia ya kuwa mtu wa visasi na uonevu. Kupewa wizara nyeti kama hiyo ni kuhatarisha maisha ya raia.

Mwana FA japo anaweza kumudu lakini hana experience ya uongozi bado kuweza kupewa wizara nzima. Labda awe Naibu waziri kwa kuanzia.
 
Prof. Ndalichako anarudi kwenye Baraza
Huyu mama ni mchapakazi sana. Alisaidia kuokoa elimu ya watoto wetu. Maana tulikuwa nafikiri kwenda hadi DIVISION SEVEN. Ukipata Division ZERO, huyo hajui kusoma wala kuandika hata jina lake.

Mavyuo yalikuwa kama kinyaa mitaani ukiwa na hela zako za kubet unafungua chuo wakufunzi ni yule anayejua kusoma na kuandika. Pole ndugu kwa kutojitambua na kulielewa hilo
 
Mawaziri wa nini wakati hawana uhuru wa kufanya maamuzi?Wanafanya maamuzi/kazi kwa hofu kuu na mara nyingi ni lazima KAYAFA ashirikishwe kila kitu kwanza kabla ya kufanya maamuzi yoyote yale.Waziri mkuu yeye ni kutumwa kama mbwa koko tu,yaani hana mamlaka yoyote ile.
 
Ndio maana hujawa Rais. Endelea kuota ndoto za kwenye keyboard kama mwenzio yule mwenye jina la antibiotic
 
Mkuu kuna Wizara zingine umetaja sijui kama zipo, mfano Ujenzi na miundo mbinu hii siyo wizara moja kweli? Halafu Baraza gani hili ambalo halina Husen Bashe na Makonda. Kwa maoni yangu aliyekuwa Mkurugenzi wa jii la Dodoma, Bashe, Gambo, Makonda, Mwanri na mkuu wa mkoa wa Mbeya hawa natamani sana wangekuwa kwenye baraza la Mawaziri maana wanaendana na kasi ya muheshimiwa.
 
Mawaziri wa nini wakati hawana uhuru wa kufanya maamuzi?Wanafanya maamuzi/kazi kwa hofu kuu na mara nyingi ni lazima KAYAFA ashirikishwe kila kitu kwanza kabla ya kufanya maamuzi yoyote yale.Waziri mkuu yeye ni kutumwa kama mbwa koko tu,yaani hana mamlaka yoyote ile.
Kwa hiyo pm alivyo handle ile ishu ya cashenuts hukufurahia kabisa?
 
Kwa hiyo pm alivyo handle ile ishu ya cashenuts hukufurahia kabisa?.
Ishu ya cashewnut ilifeli mazima ndiyo maana awamu hii kwenye kampeni CCM ilikuwa inajiapiza kwa wananchi kuwa hawataingilia tena ishu ya Korosho.Hakuna kilichofaulu kwenye ishu ya korosho.
 
Afya,Tamiseni,Elimu ni wale wale,lakini Bashe anaweza akaukwa uwaziri kamili.
 
1. Ulinzi - Prof Makame

2. Katiba - Simbachawene

3. Michezo - Tarimba

4. Mawasiliano - J. Makamba

5. Tamisemi - Jaffo

6. Viwanda na Biashara - Dr. Kimei

7. Uwekezaji - Hussein Bashe

8. Mambo ya ndani - Alexander Myeti

9. Sera na Bunge - Jenista Mhagama

10. Ardhi - Lukuvi

11. Utawala Bora - Azan Zungu

12. Muungano - Mama S. Kikwete

13. Kilimo na Mifugo - Luaga Mpina

14. Madini - D. Biteko

15. Nishati - Dr. Kalemani

16. Ujenzi - Kamwele

17. Elimu - Kitila Mkumbo

18. Afya - Ummy Mwalimu

19. Maji - Dr Mathayo D. Mathayo


Mtazamo wangu wa Baraza jipya kwa wambunge waliochanguliwa ni huu.
----Ila kwa wabunge wa kuteuliwa na Rais nisingemwacha Agrey Mwanri na kumpa Wizara ya Utawala Bora
 
Back
Top Bottom