Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 81,528
- 94,481
Upo sahihi mkuuUtoporo Mtupu.
Hawa wote ni vibaraka wa jiwe hawana uhalali wa kuwa wabunge wala mawaziri.
Wamepora haki ya kikatiba ya mwananchi kuchagua.
Upo sahihi mkuuUtoporo Mtupu.
Hawa wote ni vibaraka wa jiwe hawana uhalali wa kuwa wabunge wala mawaziri.
Wamepora haki ya kikatiba ya mwananchi kuchagua.
Hii mada haiwahusu nyie watu wa CHADEMA, Hapa ni CCM tunaunda baraza la Mawaziri so obvious kwa nyie hakuna hata candidate mmoja ambao mtaona anafaa. Hivi mbona CHADEMA hamnaga akili kabisa kwenye vichwa vyenuUpo sahihi mkuu
Huyu mama ni mchapakazi sana. Alisaidia kuokoa elimu ya watoto wetu. Maana tulikuwa nafikiri kwenda hadi DIVISION SEVEN. Ukipata Division ZERO, huyo hajui kusoma wala kuandika hata jina lake.Prof. Ndalichako anarudi kwenye Baraza
Hawa issue this timeMawaziri wa nini wakati hawana uhuru wa kufanya maamuzi?Wanafanya maamuzi/kazi kwa hofu kuu na mara nyingi ni lazima KAYAFA ashirikishwe kila kitu kwanza kabla ya kufanya maamuzi yoyote yale.Waziri mkuu yeye ni kutumwa kama mbwa koko tu,yaani hana mamlaka yoyote ile.
Kwa hiyo pm alivyo handle ile ishu ya cashenuts hukufurahia kabisa?Mawaziri wa nini wakati hawana uhuru wa kufanya maamuzi?Wanafanya maamuzi/kazi kwa hofu kuu na mara nyingi ni lazima KAYAFA ashirikishwe kila kitu kwanza kabla ya kufanya maamuzi yoyote yale.Waziri mkuu yeye ni kutumwa kama mbwa koko tu,yaani hana mamlaka yoyote ile.
Ishu ya cashewnut ilifeli mazima ndiyo maana awamu hii kwenye kampeni CCM ilikuwa inajiapiza kwa wananchi kuwa hawataingilia tena ishu ya Korosho.Hakuna kilichofaulu kwenye ishu ya korosho.Kwa hiyo pm alivyo handle ile ishu ya cashenuts hukufurahia kabisa?.
Huu ni ugonjwa wa ubongo!30% tu ya list yako ni muslims!!!
Chadema bwana; daaaaaahhhUtawala bora - Lukuvi - He is matured and experienced enough to run this docket:
UTAWALA BORA UNAOUONGEREA HAPA NI UPI?
Naunga mkono hojaAfya,Tamiseni,Elimu ni wale wale,lakini Bashe anaweza akaukwa uwaziri kamili.
1. Ulinzi - Prof Makame