TANZIA: Mrejesho wa msiba wa baba wa mwenzetu

Valentine na wengine wote naombani mnisamhe.

nimeshindwa tu kuvumilia. najua nimewekwaza wengi wenu kama sio wote.
naombeni tu msamaha wenu.

nilishikwa na hasira ambayo sikutarajia kabisa.

Heaven Sent pia utanisamehe sana kutoa maneno mabaya katika Thread inayokupa faraja katika kigumu kwako.
 
Pole Sana mkuu Heaven Sent na wana familia wote. Mungu awape faraja ya moyo kipindi hiki kigumu mnacho pitia. May his soul rest in Peace. AMEN
 
Itabidi muweke sehemu hapo kwenye msiba ka kibao kadoogo kalikoandikwa Jf ili mtu akikaona ajur members wake wako hapo ndio mkatambuane.....
Wajipange pamoja wawe na bahasha ya rambirambi na waombe nafasi as jf members wenzake
 
Watu wanaleta utani sana hata kwenye jambo linalohusu maisha ya mwenzetu.

What goes around comes around tumfariji mwenzetu kwa moyo na kadiri tuwezavyo mengine yote hayajengi.
Mkuu kumbuka 4:1
 
jf watoto wengi sana yaani ukiona mtu analeta masihara kwenye msiba ujue pia uelewa wake ni mdogo sana tena sana hawa kula kulala ni shida sana aisee na ndiyo wengi humu jf
 
hivi humu kuna mtu kalazimishwa kuchangia pesa yake?

hebu kuweni wastaarabu tafadhal!!

pita kimya tu km hujisikii tafadhali!
tatizo ni hawa tegemezi hotpot family yaani hawajui chochote zaidi ya ujinga tuu yaani nimesoma imeniuma sana mtu anaeleta ujinga kwa msiba ni mpumbavu sana badala tumfariji mfiwa wanaleta ujinga kwani mchango ni lazima kama mtu huna unapiga kimya kuliko kuponda pia rambirambi haina tajir wala maskin maana msiba hauna taarifa ujiandae jf bhana watoto wengi
 
tatizo ni hawa tegemezi hotpot family yaani hawajui chochote zaidi ya ujinga tuu yaani nimesoma imeniuma sana mtu anaeleta ujinga kwa msiba ni ******** sana badala tumfariji mfiwa wanaleta ujinga kwani mchango ni lazima kama mtu huna unapiga kimya kuliko kuponda pia rambirambi haina tajir wala maskin maana msiba hauna taarifa ujiandae jf bhana watoto wengi
always negativity tuu!

yaani kuna watu wana mambo ya kitoto!!sana

kutoa ni moyo si utajiri

na hawajalazimishwa Ila daahh!mapovu yanayowatoka
 
Back
Top Bottom