TANZIA: Mrejesho wa msiba wa baba wa mwenzetu

haha ha haaaa hajaniruhusu kutoa no au picha. wewe ukifika ni pm ntakwambia namna ya kumuona mkuu.

Kama Heaven Sent mwenyewe hayuko wazi kuonana na watu msilazimishe wakuu. Don't make her uncomfortable, on top of everything that's happening around her at this moment.
Kama mtu anataka kujitambulisha msibani katoka JF na iwe juu yake lakini mwacheni HS apumzike kwanza.
 
Pole sana Wafiwa, Mwenyezi Mungu awajaalie nguvu na ujasiri katika wakati huu mgumu mnaoupitia.

RIP baba Heaven sent
 
Nimevutwa kuchangia huu Uzi..Dada Vale naonelea hekima zaidi itumike ili kuwafanya wengine wachangie ambao hawatataka kiasi cha pesa kionekane...ni vyema mrejesho ukawa kwa idadi ya watu waliotoa..na so I'd na kiasi..

Ni vizuri ulivyofanya mwanzo... ila ni vyema kuzingatia hill kwa amani ya wengi..Nawasilisha
 
Poleni sana jamani though nimeiona leo. Mungu amtie nguvu maana kuondokewa na mzazi ni pigo kubwa. Heaven sent, Mungu akupe faraja ktk majonzi yako.........
 
Pole sana dada kumbe tuko Jirani kabsa, kama wengine walivyoshauri kutoweka kiasi cha pesa alichotoa mtu ni vzr . Lakini ingependeza sana kama na kiasi cha fedha kingewekwa maana aliyechanga angekua 100% sure kwamba hela yake imemfikia muhusika kama mnavvyojua pesa shetani.
 
Nimevutwa kuchangia huu Uzi..Dada Vale naonelea hekima zaidi itumike ili kuwafanya wengine wachangie ambao hawatataka kiasi cha pesa kionekane...ni vyema mrejesho ukawa kwa idadi ya watu waliotoa..na so I'd na kiasi..

Ni vizuri ulivyofanya mwanzo... ila ni vyema kuzingatia hill kwa amani ya wengi..Nawasilisha
Uko sahihi
 
Back
Top Bottom