TANZIA: Mrejesho wa msiba wa baba wa mwenzetu

Valentina

JF-Expert Member
Oct 12, 2013
24,632
28,629
Ndugu wana Jf kama tulivojulishwa kuhusu msiba wa rafiki yetu Heaven Sent na kutokana na nia ya baadhi ya members kuomba tuweke namba kwajili ya rambirambi katika kumfariji mwenzetu tumeshaurina tukaona sio mbaya kuweka namba hiyo kwajili ya kumsapot mwenzetu....

Binafsi nimeongea na mfiwa usiku huu,na msiba upo Mbeya Ilomba karibu na kanisa la Roman....

Mazishi ni leo Jmosi. Kijiji cha Itete wilayan Busokelo.

Hivyo kwa walioko huko wanaweza kuhudhuria kadri wawezavyo

Kwa yeyote atakaeguswa kutoa kiasi chochote alichonacho anaweza akatuma mchango wake kwa no 0756839550 imesajiliwa kwa jina la Valentina Mallya....

Ukishatuma naomba unipm i'd yako na kiasi ulichotoa na jina la wakala kisha mimi nita confirm huku.... Tuzingatie uaminifu wa pande zote mbili ni muhimu zaidi...
 
Upadates.
Jana mwenzetu Heaven Sent amempumzisha mzazi wake katika nyumba yake ya milele.
kwa niaba ya Jf napenda kumpa pole na nakumuomba aendelee kuwa na moyo wa ujasiri kama aliouonesha tangu msiba huu utokee.
endelea kuwa na imani hyo uliyonayo Hevean.

Bwana ametoa na Bwana ametwaa. Jina lake lihimidiwe
___________________________________

Updates rambirambi

Deadline
leo jioni

1. wambeke 50,000/=
2. Valentina 10,000/=
3. Mamndenyi 6,000/=
4. atoto
5. ......... 30,000/=
6. Shunie 10,000/=
7. ........ 5,000/=
8. Kiwatengu
9. Me too 2,000/=
10. Geniveros
11. Miss chagga
12. ...... 10,000/=
13. Daby
14. Sumbai
15. Princes Peter
16. ......... 110,000
17. GreenCity
18. Mentor
 
Ndugu wana Jf kama tulivojulishwa kuhusu msiba wa rafiki yetu Heaven Sent na kutokana na nia ya baadhi ya members kuomba tuweke namba kwajili ya rambirambi katika kumfariji mwenzetu tumeshaurina tukaona sio mbaya kuweka namba hiyo kwajili ya kumsapot mwenzetu....

Binafsi nimeongea na mfiwa usiku huu,na msiba upo Mbeya Ilombo karibu na kanisa la roman.... Hivyo kwa walioko huko wanaweza kuhudhuria kadri wawezavyo

Kwa yeyote atakaeguswa kutoa kiasi chochote alichonacho anaweza akatuma mchango wake kwa no 0756839550 imesajiliwa kwa jina la Valentina Mallya....

Ukishatuma naomba unipm i'd yako na kiasi ulichotoa na jina la wakala kisha mimi nita confirm huku.... Tuzingatie uaminifu wa pande zote mbili ni muhimu zaidi...
Kumbe ni hapa hapa home Mby, ngoja tukawakilishe msibani
 
Back
Top Bottom