TANZIA: Mrejesho wa msiba wa baba wa mwenzetu

always negativity tuu!

yaani kuna watu wana mambo ya kitoto!!sana

kutoa ni moyo si utajiri

na hawajalazimishwa Ila daahh!mapovu yanayowatoka
Inasikitisha sana, ila ndio tuvumiliane tu, mijitu ya hivyo haikosekani duniani alafu wao ndio wanajiona wajanja wengine wapumbavu, dawa ni kuwapuuza tu, ninashauri huu uzi ufutwe ikifika hiyo j2.
 
Sijui mtu anapata wapi ujasiri wa kusema maneno ya kashfa wakati mwenzake analia kumpoteza baba yake.

Kuna thread za utani na sio hii ya tanzia jamani. Utoto unakuwa mwingi sana humu na hilo sasa limeshaanza kuwa tatizo kama sio janga.
Suala la rambirambi sio la lalazima sema walau pole basi pita nenda kwenye uzi mwingine sio kuanza kashfa za ajabu. Hujafa hujaumbika na ukianguka leo hujui nani wa kukunyanyua na ukifa hujui wa kukuzika. Heshima na utu havinunuliwi dukani wana JF
 
Kweli mkuu, hii itamuumiza sana na kujuta kwanini taarifa zake zilifika humu.
Akisoma hiyo post atakosa uhuru wa kuchangia mambo mengine.
Nashauri hata kama unafahamu tabia ya member yeyote humu ni bora kujizuia kutunza siri
Ukitaka u enjoy JF msijuane kuna wengine akishakujua anakuja na I'd nyingine kuku attack Uhuru waku comments unapungua.
 
Ndugu wana Jf kama tulivojulishwa kuhusu msiba wa rafiki yetu Heaven Sent na kutokana na nia ya baadhi ya members kuomba tuweke namba kwajili ya rambirambi katika kumfariji mwenzetu tumeshaurina tukaona sio mbaya kuweka namba hiyo kwajili ya kumsapot mwenzetu....

Binafsi nimeongea na mfiwa usiku huu,na msiba upo Mbeya Ilomba karibu na kanisa la Roman....

Mazishi ni leo Jmosi. Kijiji cha Itete wilayan Busokelo.


Hivyo kwa walioko huko wanaweza kuhudhuria kadri wawezavyo

Kwa yeyote atakaeguswa kutoa kiasi chochote alichonacho anaweza akatuma mchango wake kwa no 0756839550 imesajiliwa kwa jina la Valentina Mallya....

Ukishatuma naomba unipm i'd yako na kiasi ulichotoa na jina la wakala kisha mimi nita confirm huku.... Tuzingatie uaminifu wa pande zote mbili ni muhimu zaidi...
Taarifa haijitoshelezi, aliyefariki ni nani yake?

Poleni wafiwa kwa msiba, may the departed soul rest in eternal peace. Amen
 
Wengine jf hatujuani hata na mtu mmoja and incase of anything hakuna taarifa inaweza letwa humu.. Ka get-together party ka mwisho WA mwaka kangehusika ingekuwa poa sana tukasocialize physically and mentally.
 
Back
Top Bottom