TANZIA: Mkuu wa Wilaya ya Kalambo, Moshi Chang’a afariki Dunia

Tusubiri daftari la wapiga kura liboreshwe ikiwa ni pamoja na tume huru ya uchaguzi nnadhani kuanzia hapo mmtaweza kuleta hoja hapa
Hakuna ushindi wa kisiasa wa mezani, kama hamulielewi hilo endeleeni kupaa angani wakati wananchi wako ardhini.
 
Hakuna ushindi wa kisiasa wa mezani, kama hamulielewi hilo endeleeni kupaa angani wakati wananchi wako ardhini.

Tunashukuru maana kwa maneno yako imetosha kujidhihirisha kuwa kumbe huwa ni kawaida yenu ccm kushinda chaguzi mbali mbali kwa wizi wa kura ,nnaona kobe anaanza kuchungulia sasa.
 
Huyu Mzee Chang'a alikuwa mfuatiliaji sana wa matukio na alikuwa mtenda haki.

Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi.

Nakumbukka alikuwa DC pale Mbeya, he was a fair man.
 
Mkuu usijesahau kuwa ulimi huponza nafsi.
Kwa matamshi yako mwenyewe wamwita Ibilisi akushughulikie, adui yako hata akifa hatufurahi tunamwombea Mungu amrehemu, ampunguzie adhabu kwani hakuna binadamu asiye na makosa au dhambi.
Sasa wewe kama ni mkamilifu endelea kufurahia.

Hayo yote ni maneno ya kujifariji kama wanadamu ili tusahau hali ya umauti lakini haiondoi hali ya kiumbe chochote kutokufa kitakufa tu ni suala la muda tu hapo ikifika wakati wake lazima kipoteze uhalali wa kuwa hai.
 
Cyril acha roho mbaya mambo ya siasa in siasa na kifo ni kifo. Usihusishe siasa na kifo ndugu yangu kwani wote siku moja tutarejea kwa mola wetu. Kama aliyefariki ni CCM au CUF au CDM haijalishi tunapaswa kuwaombea dua njema kwa mola wetu wenzetu waliotutangulia mbele ya haki maana sote tu waja wake. Nakushaurisana ndugu yangu usishsngiie mtu kufa eti kwa vile yeye ni wa Chama Fulani acha kabisa mpango huo si jambo la kisitaarabu hata kidogo na mila zetu za kiafrika zinakataza kushangilia huko kiitikadi.

Mkuu suala la kifo lipo tu kwa kiumbe chochote na kifo hicho hakijalishi wewe ni mwema sana au wewe ni mwovu sana kifo kipo pale pale na hakijaanzia kwa huyu mzee ,kifo kilianzia tangu enzi za kuumbwa binadamu na kwa wale wanaoamini katika bible watakubaliana na mimi kifo kilianzia tu pale Adam alipoyageuka maagizo ya Mungu na papo hapo ikawa hivyo hadi leo sisi ni kizazi kile kile tutazaliana na pia tutakufa.Hauwezi ukawaombea haki wale wasiotenda haki ili eti wapate haki kwa Mungu,kila anaeshirikiana na mwizi nae ni mwizi tu totaly.
 
Hayo yote ni maneno ya kujifariji kama wanadamu ili tusahau hali ya umauti lakini haiondoi hali ya kiumbe chochote kutokufa kitakufa tu ni suala la muda tu hapo ikifika wakati wake lazima kipoteze uhalali wa kuwa hai.
Endelea kufurahia mkuu, na boya umeshajiwekea ,tubu ili lisijefuatwa na yule mharibifu!
 
Tabora ni kubwa Kimbunga. Marehemu alikuwa Mkuu wa Wilaya yangu ya SIKONGE....

10247353_629955347087828_4317055873580382314_n.jpg

Duh Moshi MwaChang'a ameondoka. Huyu jamaa alikuwa mchapa kazi sana na pia alikuwa mhamasishaji mzuri sana tangia akiwa huko kwenye kata. Nakumbuka kukutana naye Bukoba akiwa Mkuu wa Wilaya kule kabla hajahamishiwa Tabora.
 
Cyril acha roho mbaya mambo ya siasa in siasa na kifo ni kifo. Usihusishe siasa na kifo ndugu yangu kwani wote siku moja tutarejea kwa mola wetu. Kama aliyefariki ni CCM au CUF au CDM haijalishi tunapaswa kuwaombea dua njema kwa mola wetu wenzetu waliotutangulia mbele ya haki maana sote tu waja wake. Nakushaurisana ndugu yangu usishsngiie mtu kufa eti kwa vile yeye ni wa Chama Fulani acha kabisa mpango huo si jambo la kisitaarabu hata kidogo na mila zetu za kiafrika zinakataza kushangilia huko kiitikadi.

Jipange sawasawa usije zomewa ukiwa umekufa. Im just saying. Make sure you do things right.
 
Kiswahili kinatumika vibaya eti alale pema peponi,wapi? Au hammjui chang"a kila kona tbr na sikonge ana mtoto.
 
Duh Moshi MwaChang'a ameondoka. Huyu jamaa alikuwa mchapa kazi sana na pia alikuwa mhamasishaji mzuri sana tangia akiwa huko kwenye kata. Nakumbuka kukutana naye Bukoba akiwa Mkuu wa Wilaya kule kabla hajahamishiwa Tabora. Mungu amlaze mahala pema.

Ni miongoni mwa watu ambao nilitegemea wangeuchukua ukuu wa mkoa lakini haikutokea hadi ametoweka duniani.
Hata mimi nilidhani angekuwa Mkuu wa Mkoa..RIP Moshi Chang'a
 
Rest in peace mzee moshi chang'a. mkuu wa wilaya yangu,mtu wa watu.

Nakumbuka ilikuwa ni tarehe 11/04/2014 nikiwa pale mtwara nilikutana na mtoto wake Ndg Mohammed chang'a akaniambia habari za kuumwa kwake..hatimae Jana umetutoka.

Eeh Mungu watie nguvu ndugu na jamaa wa marehemu ktk Kipindi hiki kigumu. Hpamis Chang'a , Mohamed Chang'a na Shabani Chang'a tuko pamoja ndugu zangu.
 
Back
Top Bottom