Tanzania's Lotus disqualified from Big Brother

Lotus ameondolewa katika mashindano hayo mchana huu, hii ni kutokana na ugomvi kati yake na mshiriki kutoka South Africa-Luclay!
 
Lotus ameondolewa katika mashindano hayo mchana huu, hii ni kutokana na ugomvi kati yake na mshiriki kutoka South Africa-Luclay!

ugomvi gani huo kampiga au? ila poa tu si juzi alimchagua bhoke ili abaki mtz mwenyewe sasa ona mwenzie anabaki,ila naomba kujua kilichotokea
 
wote hakuna kitu wakafie mbele, wakirudi kwa wale walioandaa wachape viboko na kupewa adhabu kali ili iwe fundisho kwa kufanya u,,ma..ya
 
Najiuliza maswali ambayo cjawaipata majibu yake.
Huyu BB amapewa na nani kibali cha kufungua danguro kama lile
 
Lotus anaewakilisha Tz ndani ya BBA kafukuzwa na mwenye mjengo baada ya kukiuka masharti.
Afazali Mungu Mkubwa nimepumua coz ni aibu na ushenzi mtupu wanachokwenda fanya huko, mjalie na yule mwingine arudi
MKuu ebu jaribu kuongezea urefu wa uzi,eti ni masharti gani hayo amevunja huyu mtz??
 
Lotus anaewakilisha Tz ndani ya BBA kafukuzwa na mwenye mjengo baada ya kukiuka masharti.
Afazali Mungu Mkubwa nimepumua coz ni aibu na ushenzi mtupu wanachokwenda fanya huko, mjalie na yule mwingine arudi

Vp katoa tiGo kwa kile kisharobalo?
 
Kibali wamempa WASHENZI wooote wanaokaa na kupiga CHABO kwenye TV.

Halafu leo wanakuja na kuanza kulaani yanatokea huko ndani, kwani ulifikiri ni TV ya Dini?

Mmeyataka wenyewe na kuangalia TV za namna hii. Mvumilie tu.

Nawapa HONGERA hao vijana kwa kuonyesha Dunia ya kweli ya sasa ilivyo na si UNAFIKI.

Kama watu wasingeangalia na hata kuja kuweka vilawama vyao hapa au pongezi, BBA ingelikufa.

Hamna haja ya viboko wala nini. Wote wanao-NGONOA huko, ndiyo wanaofaa kwenye BBA na si hawa wanakwenda na kujifanya watu wa dini. Dunia sasa inataka SKENDO na si watu wenye nidhamu. Hao kawatafute kwenye majumba ya dini, ingawa hata huko nako kumeshaingiliwa.

Mie napenda Mabinti wanaoonyesha kila kitu kwenye TV. Hao ndiyo wanafaa maana macho yanafaidi huku ukisubiri Jumapili na Ijumaa zifike ili tukafute/kutubu dhambi zetu, AMEN.

(Akili za Mbayuwayu utumie unaposoma maneno yangu...........)
 
Back
Top Bottom