Tanzania's Lotus disqualified from Big Brother

Aliponiacha hoi ni pale alipokua anamsimulia mwenzie kua yeye ni half cast, babaake mzungu mamaake ndo mbongo, na amefanana na babaake teh teh.
 
mmmh bora wapungue tu,tena sipendi kusikia tukihamasishwa kupiga kura,kwani tuliwatuma huko,huyo Big Braza awe anatutumia vocha kwanza,wakishinda hela zao wanakula wenyewe,hawawakumbuki wenye dhiki hata kidogo.,wakafie mbali wote nyambaff...

Oyeah kuwa mwangakifu na mbavu zangu aisee zikivunjika sina spea.
 
mi nashauri tuwe tunapeleka wanaume tu ndio wanafanya vizuri. Halafu wanatuletea mashemeji. Si unaona Tatiana mpaka sasa anakuja bongo kutoa hi?
 
It's after a fight with South Africa's Luclay.

Tumebaki na Bhoke tu

Nashukuru ametuwakiRisha vizuri...Bhoke amaghana ga saRikiRe... vita ni vita muRa. kwani huwakujua kwamba ana damu ya TARIME!!!!! sisi kwetu ni mwiko mkon ukinyanyuka uRudi bila kitu. KamuuRizeni NyambaRi... Vita ni vita mRa kaRibu nyumbani sie tupo kabisa MAYI. hUku kwetu ni msiba kabisa yaani tumefi**wa kabisa na sheikh YAHAYA.
 
Aliponiacha hoi ni pale alipokua anamsimulia mwenzie kua yeye ni half cast, babaake mzungu mamaake ndo mbongo, na amefanana na babaake teh teh.

hahhaaaaaaaaaaaaaaaa sipati picha huo mshangao wa hao aliokuwa anawasimulia hayo......
 
Back
Top Bottom