aaah! kumbe hela mnapata sasa mbona mnatuchangisha na sisi wananchi wakat hatujui hzo mnazopata mnazifanyia nini...wizi mtupu
Ndugu! acha kuwa na fikira mgando! yaani wewe mpaka sasa hivi hujui hata kufanya hesabu kidogo juu ya uendeshaji wa vyama?.Mbona hujasema ccm wanachukua ruszuku kiasi gani na hela chafu toka kwa mafisadi na bado wanachangisha wananchi>Mimi nadhani ni vyema tukawa tunatoa maoni yenye maslahi kwa jamii kuliko kukurupuka tu!.