ashtakiwe wa kufanya kazi kisiasa. mtumishi wa umma ovyo!!! ndo madhara ya kuteuliwa hayo
Namuombea Apigwe na "kitu kizito au chenye ncha kali" na PoliCCM ili waiisingizie CDM na wapate mwanya wa kiufuta. Lakini Tendwa atakuwa hayupo tena
ashtakiwe wa kufanya kazi kisiasa. mtumishi wa umma ovyo!!! ndo madhara ya kuteuliwa hayo
ashtakiwe wa kufanya kazi kisiasa. mtumishi wa umma ovyo!!! ndo madhara ya kuteuliwa hayo
Ametushangaza sana sisi wafanyakazi wa ofisini kuweka bifu zake binafsi mpaka kwenye mambo ya kisera, Tendwa hashauriki kwasasa na huu ni msukumo wa kisiasa kutoka chama Tawala, tumemueleza wazi kuwa chadema walisema hawatafanya kazi na wewe na siyo ofisi yako, Sasa kwanini Tusiwape ruzuku yao? Mbona hawa chama Tawala wamechukua?
Namuombea Apigwe na "kitu kizito au chenye ncha kali" na PoliCCM ili waiisingizie CDM na wapate mwanya wa kiufuta. Lakini Tendwa atakuwa hayupo tena
Hili jambo yafaa lipate maelezo vizuri:-
1. Tendwa anaweza kuzuia ruzuku ya chama cha siasa?
2. Utaratibu wa malipo ni wa cheki au vocha?, Kwa sahii ya nani?
3. Utaratibu unafanywa kwa ujumla au ni kwa chama kimoja kimoja?
4. Je kama inatokea Tendwa anaweza fanya No. 1 Utaratibu gani unafuata kwa chama husika?
Mkuu,
1. Tendwa hana mamlaka wala uwezo wa kuzuia Ruzuku za chama chochote cha siasa.
2. Utaratibu wa Voucher ndio unaofanywa kwa sababu hawaendi Bank moja kwa moja bali hupitishwa hazina kisha pesa hizo huingizwa kwenye account hizo kwa njia ya kielektroniki.
3. Internal Memo huandikwa na Mhasibu na kusainiwa na Tendwa au hata Msaidizi wake kisha hurudi kwa Mhasibu na Mhasibu huandika Voucher na kuisaini kupeleka Hazina. Kwa utaratibu huu Internal memo haiandikwi ya Chama kimoja kimoja bali huandikwa kwa mfumo wa fomu moja yenye vyama vyote na fedha wanazostahili kulipwa. Swali la mwisho limekufa kwenye majibu yangu automatic.
Deus mnatuchanganya,mleta mada anadai Tendwa ana sign cheq,wewe unadai Tendwa ana sign voucher,nafikiri kuna mahali mnapishana
Uliweza kutujuza kuwa malipo ya ruzuku kwa vyama vyote yalikuwa bado, sasa kuhusu hizi tuhuma sijaweza kujua kama kweli CCM wamepata na wengine kunyimwa. Mkuu ufanye juhudi kupata ukweli kuhusu habari hii ili tujue kama utaratibu wa kawaida (UMEBAKWA) au Tendwa na Ofisi yake wamezushiwa!.Tatizo ni kwamba Tendwa amejipatia maadui wengi sana kutokana na utendaji wake mbovu hivyo mtu akiandika lolote juu yake anaaminika. Mleta mada hapa hata hajui utaratibu huu wa Kuhamisha hela kutoka Hazina kwenda kwenye vyama vya siasa. Ongea na Mkurugezi wa Fedha Chadema au Mweka hazina wa CCM watakupa utaratibu huu. Kama kweli mleta mada ni mfanyakazi kwenye ofisi ya Tendwa basi yupo kwenye ngazi za chini sana. Sana!.
Mkuu,
1. Tendwa hana mamlaka wala uwezo wa kuzuia Ruzuku za chama chochote cha siasa.
2. Utaratibu wa Voucher ndio unaofanywa kwa sababu hawaendi Bank moja kwa moja bali hupitishwa hazina kisha pesa hizo huingizwa kwenye account hizo kwa njia ya kielektroniki.
3. Internal Memo huandikwa na Mhasibu na kusainiwa na Tendwa au hata Msaidizi wake kisha hurudi kwa Mhasibu na Mhasibu huandika Voucher na kuisaini kupeleka Hazina. Kwa utaratibu huu Internal memo haiandikwi ya Chama kimoja kimoja bali huandikwa kwa mfumo wa fomu moja yenye vyama vyote na fedha wanazostahili kulipwa. Swali la mwisho limekufa kwenye majibu yangu automatic.
Uliweza kutujuza kuwa malipo ya ruzuku kwa vyama vyote yalikuwa bado, sasa kuhusu hizi tuhuma sijaweza kujua kama kweli CCM wamepata na wengine kunyimwa. Mkuu ufanye juhudi kupata ukweli kuhusu habari hii ili tujue kama utaratibu wa kawaida (UMEBAKWA) au Tendwa na Ofisi yake wamezushiwa!.
aaah! kumbe hela mnapata sasa mbona mnatuchangisha na sisi wananchi wakat hatujui hzo mnazopata mnazifanyia nini...wizi mtupu
Habari hii sio ya kweli