Warudi waje wakacheze mapinduzi cup na uhai cup1-1 uganda washapita,inauma but ndo tufanyaje
Mafuluto,.... Hao TFF ni wapumbafu na hawana hata vision wala objectives. Wameingiza siasa za CCM tuuu hakuna lolote...
Huwezi kulazimisha players wa Simba na Yanga waende kucheza mashindano ya kugombea mbuzi, ambayo hata hayana tija, wakati klabu zina mashindano makubwa in just few weeks time. Mipango gani hiyo ya kifala..?
Ona sasa inaonekana wazi kuwa Challenge tulibebwa tu na vipenati vya kupewa...
Wangepeleka timu ya vijana, au baadhi ya players ambao kocha anawafikiria in future. Huyu babu nae ni wale wale....sidhani kama ana lolote jipya.
mimi nafikiri tunacheza bila malengo na hilo ndio tatizo letu kubwa
Mafuluto, poa munkari kaka. TFF walitumia busara kulazimisha wachezaji hawa waende Misri. Kumbuka tuna mechi ya kushindana kwenda kombe la Africa. Timu hii iliamuriwa iende ili ichukulie mechi hizi kama maandalizi ya mechi hiyo. Naamini mechi hizi zimtawasaidia kujua wapi warekebishe ili washinde mechi ya Afrika. Bila hizi mechi kasoro zilizotokea ndo zingetokea katika mechi hiyo..... Hao TFF ni wapumbafu na hawana hata vision wala objectives. Wameingiza siasa za CCM tuuu hakuna lolote...
Huwezi kulazimisha players wa Simba na Yanga waende kucheza mashindano ya kugombea mbuzi, ambayo hata hayana tija, wakati klabu zina mashindano makubwa in just few weeks time. Mipango gani hiyo ya kifala..?
Ona sasa inaonekana wazi kuwa Challenge tulibebwa tu na vipenati vya kupewa...
Wangepeleka timu ya vijana, au baadhi ya players ambao kocha anawafikiria in future. Huyu babu nae ni wale wale....sidhani kama ana lolote jipya.
kabla ya hii mechi wachezaji wetu waliahidi leo watafia uwanjani, na kweli wamefia uwanjani kwa sababu hawaendelei tena na mashindano maneno huumba.
Hivi kuna hata mchezaji alie mwaga chozi kuonyesha uzalendo?
jamani juzi tu c mlikuwa mnaipongeza stars kwa kuwafunga ivory coast?let them come back home tumeenda kushiriki tu.
sizitaki mbichi hizi...what kind of substitution is that huyu tegete angeingizwa wakati tuna walau dakika 15 huwa ni goalgetter mzuri sana